Hata walivyotaka kwenda mwezini, anga za juu... exploration ya mars, waafrica walisema kama wewe!
Tatizo letu tuliacha kutumia ubongo wetu zamani sana...
MUNGU WETU ATUPATIE KIFO CHEMA! tufe mikononi mwake, thats all i can say! itikieni AMEN!!
Kuna museums za majini. Ukienda unaona majini LIVE wamewekwa watu wawaone. Do you know that? Yapo maeneo majinj yanaonekana na yamekuwa vivutio vikubwa vya italii hasa kanada na greenland.Roho haiwezi kuonekana na mtu mwenye mwili ni mpaka naye afe. Ndiyo maana majini na malaika hawaonekani kwa macho ya nyama na damu. Majini huingia kwenye miili ya wanadamu na ndipo huweza kuongea. Malaika huweza kuvikwa miili na kuonekana kama wanadamu kama Mungu amewakusudia hivyo. Otherwise roho haionekani. Huo ni uongo wa mchana kweupe.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
asubuhi yangu imechangamkahiyo kitu nasikia inatumika kutengeneza vipodozi
MUNGU WETU ATUPATIE KIFO CHEMA! tufe mikononi mwake, thats all i can say! itikieni AMEN!!