Picha ya Madiwani waliofukuzwa Chadema

<font size="3"><span style="font-family: lucida console"><b>Kitty Galore.<br />
<br />
Charles ni mkakamavu na shujaa kuliko unavyofikiri ulichoshindwa kujua ni siasa za makundi ndani ya CDM zimekuaminisha hivyo.</b></span></font>
eti eh..mpokee tlp atawafaa
 
Hakuna mkamilifu,hii dunia hamjafa hamjaumbika!acheni kuwananga wenzenu mmekaa Kama watu ambao hamna dini,nyamafu zenu
 
mbona watu wenyewe wanaonekana wamenawili hawa shida ndogondogo
 
Kitty Galore.

Charles ni mkakamavu na shujaa kuliko unavyofikiri ulichoshindwa kujua ni siasa za makundi ndani ya CDM zimekuaminisha hivyo.

Ebu nikubaliane na wewe. Ila kama huwezi survive kwenye changamoto ya makundi ndani ya chama wangetafuta mkakati mbadala ndani ya CDM. Hawakulifikiria hilo, labda watatafuta mkakati mbadala nje ya CDM
 
Siku ya ukombozi/uhuru wa taifa hili, kila goti litapigwa kwa Chadema.

Big up utawala
 
Inamaana huyo mzee wa kwanza mwenye kitambi amesahau yaliyomtokea siku ile ya uchaguzi feki.............................???????
vlcsnap-15746.png
Kweli pesa mbaya wakuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Hawafai kuwa kwenye chama makini, wakipenda waende wakajiunge kwenye chama legelege.
 
Very poor profile, ni darasa la saba kasomea huko singida, amefanya kazi Asilia Lodges/Grumeti Expeditions kazi ya kupokea simu na kupiga. Kazi yake ilikuwa ni uchonganishi na kugawa uroda kwa madereva. Alifukuzwa kazi ndo akahamia Asilia Lodges nako akafukuzwa.

sasa bi rehema akagawe kidude chake vizuri huko magambani
 
nimejifunza ki2.
ndege wa rangi moja huruka pamoja.
na ukijifanya njiwa kumbe kunguru utaona cha moto hata kama unadhania kwamba njiwa ni wapole.
 
Back
Top Bottom