View attachment 220227
Thai-Burma Railway, Kanchanaburi, Thailand
Sasa picha za hapo tutazipata vipi ikiwa mpiga picha tunaekutegemea unataka kuleta uoga.Nikipanda humo nitafumba macho mpaka tuvuke hilo eneo
Hahahahaaaa sawa bana na hii technique nimeipendaSasa picha za hapo tutazipata vipi ikiwa mpiga picha tunaekutegemea unataka kuleta uoga.
Mimi naona bora ukifika hapo usiangalie dirishani ikiwezekana chuchumaa huku unamuuliza alie karibu yako "tushavuka?" akikuambia tayari ndio uibuke