Namba Mpya ya Taifa ni 623/2026

Namba Mpya ya Taifa ni 623/2026

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,328
Reaction score
289,329
Hii ndio namba ya Shujaa Tundu Lissu aliyopewa kama Mfungwa huko Gerezani

Tunaangalia uwezekano wa kushauriana na kiwanda Kimoja cha nguo huko Thailand (Tuna koneksheni) ili kutengeneza Fulana au Magwanda yenye Nembo hiyo na Picha yake

Endelea kutufuatilia
 
Namba 623 kinajimu ni namba inayomaanisha wito wa kusimama kidete kwa umoja na mshikamano wa jamii, kutumia nguvu ya mawasiliano ya wazi na ushawishi wa kisiasa kudai haki, na kulinda maslahi ya wananchi kwa misingi ya uwajibikaji na amani 👊👊👊
 
Hii namba ameomba ni special namba au mbona imekaa kiutamu sana? Ila Kuna mzee mmoja anatembeaga upande kama kavunjwa kiumo na mkono wale sjui ulivunjwa!! Ana wivu sana hata namba iyo ataona wivu na kuita vyombo vya habar kuizungumzia ,yaan kila jambo linalo Trend anataman awe yy!! Naisi hata aliona jeneza limebeba maiti ambayo ni maarufu anataman awe yy !! Kila kitu lazma arukie na kujidai anakujua wakat ni kichwa uharo
 
Yule ni kichaa
 
Namba 623 kinajimu ni namba inayomaanisha wito wa kusimama kidete kwa umoja na mshikamano wa jamii, kutumia nguvu ya mawasiliano ya wazi na ushawishi wa kisiasa kudai haki, na kulinda maslahi ya wananchi kwa misingi ya uwajibikaji na amani 👊👊👊
Ndugu Mtaalam tunakushukuru kwa Unajimu Kabambe
 
Hii ndio namba ya Shujaa Tundu Lissu aliyopewa kama Mfungwa huko Gerezani

Tunaangalia uwezekano wa kushauriana na kiwanda Kimoja cha nguo huko Thailand (Tuna koneksheni) ili kutengeneza Fulana au Magwanda yenye Nembo hiyo na Picha yake

Endelea kutufuatilia

..Natafuta t-shirt yenye maneno ya Tundu Lissu, " SIOMBI MSAMAHA. "
 
Back
Top Bottom