Meli ya mafuta ya Thailand yashambuliwa na Iran

The Dictator

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
4,457
Reaction score
12,244
Meli ya mizigo ya Thailand, Mayuree Naree, imeshambuliwa Jumatano ilipokuwa ikipita katika Strait of Hormuz baada ya kuondoka katika Khalifa Port nchini United Arab Emirates.

Kwa mujibu wa Royal Thai Navy, wanamaji 20 wameokolewa na jeshi la wanamaji la Oman huku juhudi zikiendelea kuwatafuta wafanyakazi watatu waliobaki.

Meli hiyo yenye urefu wa mita 178 na uwezo wa kubeba tani 30,000 ilikuwa inaelekea katika bandari ya Kandla Port nchini India. Inamilikiwa na kampuni ya Precious Shipping.

20260311_144158.jpg
20260311_144202.jpg

==================

A Thai bulk carrier travelling in the crucial Strait of Hormuz was attacked Wednesday, with 20 crew members rescued so far, the Thai navy said.

Photos shared by the Royal Thai Navy showed heavy black smoke billowing from the hull and superstructure of the Thai-registered Mayuree Naree, with life rafts floating in the water.

The vessel "was attacked while transiting the Strait of Hormuz" after departing Khalifa port in the United Arab Emirates, the navy said in a statement.

"The specific details and cause of the attack are currently under investigation," it added.

The Omani navy had rescued 20 sailors and "efforts are currently underway to rescue the remaining three crew members", it said.

Iran has launched strikes against its oil-exporting neighbours, threatening shipping in the Strait of Hormuz and plunging the global energy economy into crisis.

Source: France 24
 
Tani 30,000? Limekiwa lorry hilo?
Halafu mbona kwenye maelezo ya kimombo hakuna uwezo wa kubeba wa meli?
 
Duh
 
Attachments

  • 1773225597560.jpg
    1773225597560.jpg
    77.7 KB · Views: 29
Back
Top Bottom