Picha ya helikopta ya Mchungaji Gwajima

Picha ya helikopta ya Mchungaji Gwajima

Usinge tujurisha basi ungekaakimya mpka siku ambayo unge amka vizuri,Toba ililetwa kwa ajili ya Binadamu na sii punda.Yesu mwenyewe alikosolewa enzi hzo yupo mwenyew,sembse gwajima.Haya tunasubiri,manake watu kama nyinyi hampo kwa bahati mbaya,Mpo kwa makusidically.
Basi mbona wakitizama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako,na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyw huiangalii?,au utamwambiaje ndg yako,niache nikitoe kibanzi katika jicho lako:na kumbe! Mnaboriti ndani ya jcho lako mwenyewe.Mnafiki wewe,itoe kwanza ile boriti,iliyo katika jicho lako mwenyewe;ndipo utakapo ona vema kukitoa kile kibanzi katika jicho la ndugu yako.
Mt 7;3-5

Ningekuelewa kama ungesema hayo mambo hayafanyi kasingiziwa lakini kama anayafanya hakika hastahili kuwa mtumishi wa Mungu.....anahubiri nini sasa? Watu waache uzinzi na yeye mwenyewe anazini? Tena sio mara moja....awahubiri watu wasipende pesa hasa za udhalimu na yeye anafanya hayohayo..!! Labda uniambie ye utumishi wake upo kwenye ufufuo tu sio mahubiri....
 
daaaaaaaa,hapo hata chopa sita zinawezekana nyomi ya kufa mtu.

  • :couch2:
 
Maandishi ya hiyo chopa kama vile photoshop. Halafu namba za ndege kibongo kama vile wamekosea. Au labda za Helikopta ni tofauti wanavoandika?
 
  • Thanks
Reactions: 1gb
Wajinga wamemnunulia. Ana biashara gani zaidi ya kuoma omba sadaka kwa waumini maskini.
 
Yeye anagawa nini? maana mzee wa upako anagawa magari!!!
 
Kwanini registration ya hiyo Helicopter haijafanyika Tanzania
 
Huyu mzee atapembua mbunye mwaka huu mpaka ataishiwa mbegu
 
Ningekuelewa kama ungesema hayo mambo hayafanyi kasingiziwa lakini kama anayafanya hakika hastahili kuwa mtumishi wa Mungu.....anahubiri nini sasa? Watu waache uzinzi na yeye mwenyewe anazini? Tena sio mara moja....awahubiri watu wasipende pesa hasa za udhalimu na yeye anafanya hayohayo..!! Labda uniambie ye utumishi wake upo kwenye ufufuo tu sio mahubiri....

Adhabu yake ipo kwa yule mwenye Haki pekee.Je hukusoma maandiko juu ya wachungaji wanaopotosha waumini,Adhabu yao ipo,Sisi hatuja pewa mamlaka ya kumhukumu mtu.na ndoo maana maandiko yanasema kama nilivyo nukuu vifungu (rejea awali)
kwaio kumhukum mtu kwa dhambi yake wkt ww mwenyew wajijua ni mwny dhambi kwa namna yako,unaitwa ni mnafiki.

Kama ulishatambua Madhambi yake kwa nini usitambue yakuwa hayomadhambi yana Adhabu yake?
 
Back
Top Bottom