Picha ya Ghadafi na Jenereli Ulimwengu

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
ulimwengu.jpg
Hapa ni Benghazi 1983 wakati huo Jenerali akiwa naibu katibu mkuu wa Pan African Youth Movement, Ghadafi alikuwa ndio mfadhili mkuu wa Pan African Youth movement
 
Wakati huo jenerali alikuwa akikusanya fedha kwa ajiri ya kufufua na kupanua HIMA empire.
 
Wkt huo kilikuwa ni chama cha kina Nyerere na kulikuwa na siasa safi na uongozi bora ! nawe ulisoma bure na pamoja na makabwela,matajiri,wazungu,wahindi,waaarabu nk wewe mwana wa nchi uliheshimika na sio sasa !
 
:tongue:Ulimwengu wa sasa viongozi wetu hawapo kwa ajili ya kutupeleka tunapotaka bali kujilimbikizia mijimali tu! Mafisadi watupu!
 
Back
Top Bottom