Picha ya Gereza alilokuwa anatumikia kifungo Don Nalimison na sura yake mpya akitoka gerezani tar.26/6/2020

pole sana mkuu, ila naomba kuuliza wakuu

ivi kama umefanyia kosa mtwara nawe ni mkazi wa huko ukahukumiwa miaka 4 ila adhabu yako ukaimalizia kagera je? wanakupa nauli ya kurudi mtwara ama utajijua ukitoka jera.
 
Hiyo stakabadhi inaonyesha gereza limempa nauli ya kumsafirisha kutoka kitengule hadi mwanza maana alihamishwa kutoka gereza la butimba akapelekwa kitengule
 
Back
Top Bottom