Huyo pembeni ya Mandela ni Kaunda sio Nyerere....
Nyerere yaani avimbe mashavu kama bunju??
Wewe vipi?? Hapo kuna picha ya Nduli, Mugabe....kwa nn yake isiweko?
Unanivunja mbavuNyerere yuko mgongoni
pembeni ya mandela ni ticha acha ubishi.
Nyerere yuko mgongoni
Ghaddafir na Nyerere walikuwa hawaelewani.
Wewe vipi?? Hapo kuna picha ya Nduli, Mugabe....kwa nn yake isiweko?
Kwani ni lazima picha yake iwepo?
His the one...acha ligi
Huyo pembeni ya Mandela ni Kaunda sio Nyerere....
Nyerere yaani avimbe mashavu kama bunju??
Nyerere yuko mgongoni
Picha unayoongelea ya lubega ni Kwame Nkuruma. Nyerere yupo kushoto kwa Nelson Mandela. Aliyepost hii thread ana lake jambo kwani siamini kama ni kweli hamwoni Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere.Nyerere wa pili kulia msitari wa juu amevaa Lubega..picha yake ya ujanani, kama hamuifahamu iyo picha naiweka muda c mrefu
duh...you are the gret thinker........Nyerere yuko mgongoni
huyo ni Nkwame Nkurumah sio Nyerere mkuuNyerere wa pili kulia msitari wa juu amevaa Lubega..picha yake ya ujanani, kama hamuifahamu iyo picha naiweka muda c mrefu