Tanzania nchi yangu sio mbaya watanzania ndio wabayaBwashee lissu kutoka Kesi ya kipumbavu ya uhaini mpaka haya magumashi kwa nini nisilewe.?
Mimi namkubali Lissu, hili la kuwa Baba wa taifa kwangu hapana.Kwa mikono yao sisiem sasa ni rasmi Lissu ni baba wa taifa.
Sisiem wamempa ufalme mheshimiwa Lissu kwa kishindo sana 😅
Nilipo ona ile cream ya watu wenye akili timamu hapo mbogamboga inapigwa vita nilijua hawa nyumbu kwisha habari yao😊
Lissu anakwenda kuwa shujaa, na mboga mboga hili picha wamelikamilisha waoMimi namkubali Lissu, hili la kuwa Baba wa taifa kwangu hapana.
Labda huko chadema mumpe ubaba wa chadema.
Lissu abaki na heshima yake ya kupambania haki.
Lissu tayari ni shujaa, Leo mahakama kumefanyika Jambo la kihistoria.Lissu nakwenda kuwa shujaa, na mboga mboga hili picha wamelikamilisha wao
Unataka kusema baba wa taifa ni nani sasa unadhani mchonga meno angepitia hekaheka hizi angeshikilia bomba?Mimi namkubali Lissu, hili la kuwa Baba wa taifa kwangu hapana.
Labda huko chadema mumpe ubaba wa chadema.
Lissu abaki na heshima yake ya kupambania haki.
Mimi namkubali Lissu, hili la kuwa Baba wa taifa kwangu hapana.
Labda huko chadema mumpe ubaba wa chadema.
Lissu abaki na heshima yake ya kupambania haki.
Inategemea unaongelea taifa gani .Kwani definition ya “baba wa taifa” ni nini? Just curious
Nyerere ana kipi cha kumshinda lisssu?Inategemea unaongelea taifa gani .
Kama ni Tanzania Baba wa taifa ni hayati Mwl JK Nyerere.
Sasa wewe unayekurupuka na kusema Lissu ni Baba wa taifa unafiki Nyerere alipewa ubaba wa taifa humu kwenye mitandao na keyboard worrier mmoja?
Nimesema Nyerere hakupewa ubaba wa taifa na keyboard worrier mmoja humu JF na akawa Baba wa taifa.Nyerere ana kipi cha kumshinda lisssu?
Uzuri mmoja kizazi cha sasa kina ona umuhimu wa lissu na wa Nyerere kwa maslai ya sasaNimesema Nyerere hakupewa ubaba wa taifa na keyboard worrier mmoja humu JF na akawa Baba wa taifa.
Kama wewe unampa Tundu Lissu ubaba wa taifa wewe mpe. Huo ni ubaba wa taifa wa humu JF tuu.
Inategemea unaongelea taifa gani .
Kama ni Tanzania Baba wa taifa ni hayati Mwl JK Nyerere.
Sasa wewe unayekurupuka na kusema Lissu ni Baba wa taifa unafiki Nyerere alipewa ubaba wa taifa humu kwenye mitandao na keyboard worrier mmoja?
Hahhaha bwashee upo 😂