Picha: Wezi wa Nyaya za umeme

Picha: Wezi wa Nyaya za umeme

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
Kuna kanda moja ilikosa umeme kwa siku saba mfululizo wiki iliyopita. Nasikia sababu ilikuwa hawa waliokuwa wanataka kuiba vyaya za umeme zenye volt zaidi ya 13,000. Walikufa hapo hapo.

mail


mail


mail


mail


mail


mail


mail
 
We ngeleja unataka kutuambia tatizo wezi wa waya? picha iko wapi?
 
Mambo mengine bana haya tunashukuru kwa picha yako.
 
picha haionekani mkuu. ila kama ni picha ya kutisha plz weka warning kwenye title, wengine tunaotaga vibaya

Naamini kwa hiyo avatar yako tuu, hautatishika na hizo picha b'se utakuwa umeona mengi. lol
 
mwenzenu mie nilikuwa nasubiria picha ila naona giiiii
 
kuna kanda moja ilikosa umeme kwa siku saba mfululizo wiki iliyopita. Nasikia sababu ilikuwa hawa waliokuwa wanataka kuiba vyaya za umeme zenye volt zaidi ya 13,000. Walikufa hapo hapo.

mail


mail


mail


mail


mail


mail


mail
sas hiyo picha iko wapi mugwana kwani nilijua tutaona watu wakivuruga utaratibu wa umeme sasa fanya mpango
 
Back
Top Bottom