Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,414
- 1,535
Na walimu je? Km Askari polisi wananunua bidhaa duty free kwa nini walimu wasiwe nayo? Wote si watumishi wa umma?Askari Polisi tayari wanayo maduka hayo kama ya JWTZ ya Duty free shops!, jihadharini na mchezo wa kuchukua Skrepa za kisiasa toka CCM!
je vipi na wale watanzania masikini kabisa nao vipi hawastahili ??Na walimu je? Km Askari polisi wananunua bidhaa duty free kwa nini walimu wasiwe nayo? Wote si watumishi wa umma?
Askari Polisi tayari wanayo maduka hayo kama ya JWTZ ya Duty free shops!, jihadharini na mchezo wa kuchukua Skrepa za kisiasa toka CCM!
Majimbo yote ya mwanza yanarudi ccm 2015 wanamwanza wamechoka na migogoro yenu wana cdm
Majimbo yote ya mwanza yanarudi ccm 2015 wanamwanza wamechoka na migogoro yenu wana cdm
Majimbo yote ya mwanza yanarudi ccm 2015 wanamwanza wamechoka na migogoro yenu wana cdm
Hata mfanye vipi Chadema hamuwezi kuchukua Jimbo la Geita, waulizeni Cuf mwaka 2005 kilichowapata na hata nyie mwaka 2010.
Mlichofanya ni kuiba kura.. Sasa wewe endelea kubweteka kwa kudhani 2015 itakuwa kama 2010..
Majimbo yote ya mwanza yanarudi ccm 2015 wanamwanza wamechoka na migogoro yenu wana cdm
2005 walisema watahakikisha kura hazitaibiwa 20015 lakini ikawa kinyume.
EMPTY PROF
DODOMA CITY
Hata mfanye vipi Chadema hamuwezi kuchukua Jimbo la Geita, waulizeni Cuf mwaka 2005 kilichowapata na hata nyie mwaka 2010.