PICHA: Wenje atikisa Geita, amvalisha Gwanda mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya

Mbona umekazana sana kuwa majimbo yote yanarudi kwan wewe ni mumgu au m nabii acha hizo,inaonekana unashabikia kwa sababu baba yako ni balozi wa nyumba kumikumi kupitia chama hicho ambacho unakisemasema sana.acha watu wafanye kile wanacho taka sio kuwasemea.huo sio mpango wa wananchi!
 
Nafikiri hao watu wasingekuwa wanahudhuria. Sasa mbona wanahudhuria mikutano yao bila hata ya kusombwa na maroli? Bila hata ya kupewa khanga na vitenge? Bila hata ya kupikiwa pilau? Bila kusombwa mashuleni na viwandani kama tufanyavyo cc ccm?Haya ndiyo mambo ya viashiria tunavyopaswa Kuviangalia na kutambua kwamba Watanzania wametuchoka CCM. Tunashinda kwa msaada wa tbc, polisi, rushwa na vitisho vya shimbo. Nakuambia ukiachia wananchi waamue kwa utashi wao sisi wametuchoka. Mpaka naombea Mungu nisipangwe kwenye hizi ziara za Ccm na Kinana.
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Bwana akikuweka huru unakuwa huru kweli kwel. Haijalishi uko wapi.
 
Ni wiki moja tu tangu Kinana na Nape wafike Geita na kupokelewa na watu wachache sana pamoja na kuwasomba kutoka vijiji mbalimbali,kumbuka Kinana aliitumia baadhi ya mikutano kuagawa leseni za madini kwa wachimbaji.Hebu fikiria ujio wa Kinana katika CCM unavyotukuzwa hivi alivuna wahudhuriaji wachache mno dhidi ya Wenje.Je mziki wa Dr Slaa atauweza?
 
Hata mfanye vipi Chadema hamuwezi kuchukua Jimbo la Geita, waulizeni Cuf mwaka 2005 kilichowapata na hata nyie mwaka 2010.

akili ya kimagamba sasa ni jimbo gani tunaweza kuchukua kama Geita hatuwezi? mbona haujawahi kutabiri majimbo ambayo chadema wanaweza kuchukua unatabiri ambayo hatuwezi tu???au utababiri wako unaona pale ambapo hatuwezi tu.
 
Wananchi wamegundua makosa waliyo yafanya kuchagua chadema maana badala ya maendeleo kila siku ni fujo watu wanauwawa kwenye majimbo yao kwa sababu mnatumia watoto wa wenzunu kutafuta umaarufu mbona kwenye maandamano yenu sijawahi kuona mtoto au mke wa mbowe slaa wenje lema msigwa wakiandamana matokeo yake mnawadanganya watoto wa maskini kuandamana, ninyi mnamwaga damu za watz kwa kuwadanganya kwamba mnawatafutia uhuru? Uhuru gani wa kuhamazisha machafuko hakika hizo damu mnazo mwaga za watoto wa wenzunu mtakuja daiwa mbele za mungu wenu!!!
 
Askari Polisi tayari wanayo maduka hayo kama ya JWTZ ya Duty free shops!, jihadharini na mchezo wa kuchukua Skrepa za kisiasa toka CCM!
Liko wapi hilo duka? Nijuavyo vinywaji ndo wanauziwa bila kodi kwa maana imeonekanna askari polisi wameonekana ni walevi, Wakati JWTZ shop lao hadi sement unapata mpaka pipi. Acheni siasa za ushabiki,


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Askari Polisi tayari wanayo maduka hayo kama ya JWTZ ya Duty free shops!, jihadharini na mchezo wa kuchukua Skrepa za kisiasa toka CCM!Asante sana kaka kwa taarifa hebu tutajia hayo maduka ya polisi yako katika mikoa gani utusaidie sie maaskari polisi.
 
akili ya kimagamba sasa ni jimbo gani tunaweza kuchukua kama Geita hatuwezi? mbona haujawahi kutabiri majimbo ambayo chadema wanaweza kuchukua unatabiri ambayo hatuwezi tu???au utababiri wako unaona pale ambapo hatuwezi tu.

Mimi siku zote nasimamia ukweli huwa sipendi kupepesa macho ingawa kuna wakati ukisema ukweli na hasa kwa wale wanaojiona CDM damu wanalalmika na kutoa matusi:

Naomba niseme wazi kwamba CHADEMA kam wataendeleza mwendo huu wa sasa Jimbo la Geita lzima liende kwao mwaka 2015 kwa sababu hata mwaka 2010 ilikuwa alichukuwe lakini wakafanya badhi ya makosa ikiwa ni pamoja na baadhi yao kununuliwa na CCM NA NDIYO maana wakahinda,tangu chaguzi za vyama vingi zianze mwaka 1995 hakuna chama cha Upinzani ikiwemo C.U.F ambayo ilikuwa inaitikisa sana CCM iliyowahi kupata zaidi ya kura 20,000 ilizopata CDM kupitia Mgombea wake Rogers Luhega.

Kwa hiyo anachotakiwa ni kuendelea kufanya yale ambayo wananchi wanataka na kujipanga zaidi,ka asa wamefanya kzi nzuri sana ya kumpata huyu aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Geita ambaye aliwahi kuafuta mabalozi zaidi ya 100 walioonekan kukialiti chama na kutangaza uchaguzi upya lakini Kikwete aliingilia kati na kuwarejesha na hapo ndipo chuki ikanza na aknza kumsakama kila kona huyu Bwana.tatizo la ccm haitaki kujisafisha na haa kwa watu wake wasaliti,mafisadi na wengine wachafu wa aina mbalimbali na haya ndio yaliyokifikisha hiki chama hapa kilipo na kupelekea wananchi kukichukia.

Naamini bada ya kuondoka kwa huyu Bwana na kujiunga na CDM kuna kundi kubwa an la watu wenye misimamo kama yake ambao wako njiani kujiunga na CDM na huyu Bana ni mtu mwenye Nguvu sana katika wilaya ya Geita na mkoa mzima wa Geita kwa ujumla na anao wenake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo katika masuala ya kisiasa,CDM wakitulia ni wzi kamba jimbo la Geita ni lao na kubwa waelekeze macho kwenye jimbo la nyang'hale nlo liko wazi sana isipokuwa wamekuwa hawaliangalii kwa macho mawili wanaangalia zaidi Buanda yule mama wa Busanda KUPITIA CCM ameshajikita sana kwenye jimbo hilo na watu anamkubali tukiachana na propaganda za kisiasa inawezekana.KWA MARA YA KWANZA NAOMBA NISEME HONGERA CDM KWA MIKAKATI MIZURI.
 
akili ya kimagamba sasa ni jimbo gani tunaweza kuchukua kama Geita hatuwezi? mbona haujawahi kutabiri majimbo ambayo chadema wanaweza kuchukua unatabiri ambayo hatuwezi tu???au utababiri wako unaona pale ambapo hatuwezi tu.
Kwa sababu majimbo yote yenye utajiri wa asili CCM haiwezi kuruhusu myachukue, si unaona hata kilichotokea Tarime ambayo ina dhahabu. Na majimbo mengine kama Kahama na mengine mengi yaliyo na utajiri wa asili, hata iweje hayatachukuliwa na wapinzani maana wanaweza wakauza mliasili zetu.

EMPTY PROF@ DODOMA CITY
 
hivi tanzania ya mwaka 2012 unaweza ilinganisha na tanzania ya 2005 hakika ni ***** kama wewe ndiyo unaweza ifananisha..halafu CUF na CDM ni vitu viwili tofauti..
Naweza ifananisha, CHADEMA ya 2012 ina wabunge takribani 50, lakini ya mwaka 2015 haitafikisha hata wabunge 10.

EMPTY PROF@DODOMA CITY
 
Back
Top Bottom