Mwenyekiti wa CCM Butihama wapingana na Mkuu wa Wilaya

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Mkuu wa wilaya ya butihama amefunga mgodi wa dhahabu, unaomilikiwa na wachimbaji wadogo wadogo na kumkabidhi mchimbaji mkubwa mmoja kwa madai huo mgodi ni wake, baada ya agizo hilo ndipo mwenyeketi wa ccm wilaya ya butihama alipoingilia kati na kakataa wananchi wasiporwe mgodi huo, katika tukio hilo nusura mkuu huyo wa wilaya azichape ngumi kavu kavu na mwenyekiti huyo wa ccm
 
Bahati yake huyo mwenyekiti wa genge la mafisadi, kama asingekuwa kwenye hilo genge la mafisadi saa hizi angekuwa ameshang'olewa kucha, meno na jeshi la kulinda usalama wa mafisadi.

cc Kova
 
Kikosi cha aliyekuwa mbunge wa Musoma mjini ndo kimevamia kujifanya kinamtetea mchimbaji mdogo kwa ajili ya uchaguzi ujao, wakiongozana na George Marato katika operation Delete mkono, mwaka huu ccm watauana
 
CCM upingana vikaoni. Ilo deal tu la kuwaraghai wachimbaji wawape kura na baada ya hapo wataedeleza wizi wao.
 
Back
Top Bottom