josephat manyenye
JF-Expert Member
- Dec 3, 2017
- 529
- 679
Ummy umefanya nini sasa? Mbona umeniangusha!!
unaweza kukuta hapo ulipo unanuka jasho tuKawaida km kikwete alikuwa anakwenda na msafara wa serikali kugombea urais. Hiyo ndio raha ya kuwa madarakani.
atakuwa kayaweka maisha yake rehani hii ni kilimanjaro siyo dodoma.tutakula nae sahani mojaMkurugenzi atayarudisha.
ccm imewafanya watanzania mataahira sanaAnapiga magoti kuomba wananchi wamchague kiongozi aliyejiuzulu ubunge ili agombee tena ubunge. Pathetic!
Polisi wa ccm watamlinda. Mbona mara zote wanafanya kwa mazingira hayahaya kuna nini kipya?atakuwa kayaweka maisha yake rehani hii ni kilimanjaro siyo dodoma.tutakula nae sahani moja
Haibadilishi chochote.unaweza kukuta hapo ulipo unanuka jasho tu
Hakujiuzulu ubunge bali alihama chama, chama kikachukua ubunge wake.
The Boss hivi upo....miss you so muchBasi hapo wapiga kura wanaingizwa mkenge kirahisi...
pambana na hali yako wenzako wameshiba shtuka acha kuwa boya.Haibadilishi chochote.
kilimanjaro polisi wako chadema hawataki hata kusikia hilo lichama la majambaziPolisi wa ccm watamlinda. Mbona mara zote wanafanya kwa mazingira hayahaya kuna nini kipya?
Lazima ugombewe upya.sasa uchaguzi Wa nn tena?Maana CHADEMA ndo imechukua ubunge wake!!
Watapelekwa wa Dodoma.kilimanjaro polisi wako chadema hawataki hata kusikia hilo lichama la majambazi