Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel

Navojuwa magoti huwa anapigiwa Mungu kumbe khaaa ukiwa umetingwa unaweza mpigia magoti hata mtoto wako duuh!
Ccemu shindeni tuu maana wanaogopa wakishindwa mkulukulu atakasirika na siajabu hasira zikawaishia wao!!
 
Wanasiha msilogwe na magoti ya huyo bi dada kwani anawasanifu tu kwa lugha ya kihenga! Mpigeni chini huyo masai mchovu akachunge ng'ombe kwani kazi ya ubunge aliikataa mwenyewe licha ya ninyi kumpa kama alivyoomba! Hana maana huyo na hata wanaomkampenia ni walewale wachumia tumbo! Mwadhibuni tu kumwonyesha kuwa hamjaribiwi! Nawaaminia wanasiha kuwa mna msimamo usioyumba hasa kipindi kile mlipombwaga Mwanri mlinifurahisha sana na sasa ni zamu ya mollel! Msimpe hata moja!
 
Back
Top Bottom