Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ghazwat, Feb 11, 2018.

 1. Ghazwat

  Ghazwat JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 16,284
  Likes Received: 48,641
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Ngiriny, wilayani Siha kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk. Godwin Mollel katika kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge wa Jimbo hilo.

  Chanzo: Mtanzania Digital
   
 2. k

  kubwi Member

  #2
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 22, 2017
  Messages: 15
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 5
  Mhhh.
   
 3. elvischirwa

  elvischirwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 11, 2018
  Joined: Jan 26, 2013
  Messages: 1,234
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Wanatumia raslimali za taifa kwenye kampeni.
   
 4. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #4
  Feb 11, 2018
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,860
  Likes Received: 22,911
  Trophy Points: 280
  Basi hapo wapiga kura wanaingizwa mkenge kirahisi...
   
 5. DR. MWAKABANJE

  DR. MWAKABANJE JF-Expert Member

  #5
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 7, 2012
  Messages: 1,722
  Likes Received: 2,448
  Trophy Points: 280
  Upuuzi wa kiwango cha mbingu....si alijiuzulu kwa nia ya kumuunga mkono Magu kwa kuwa anatekeleza kero za wananchi kwa kasi ya 4G sasa magoti ya nini?? Usikute heshima kwa mabwana zao zero ila kwa baba J. zipo za kutosha!
   
 6. share

  share JF-Expert Member

  #6
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 22, 2008
  Messages: 2,810
  Likes Received: 3,296
  Trophy Points: 280
  Mhhh, usanii mtupu. Dawa ni kumbwaga huyu Mollel. WanaSiha, tafadhali, tuuache huu usanii uliopitiliza kiasi. Piga chini Mollel. Hatuongozi Siha kwa usanii.
   
 7. Ghazwat

  Ghazwat JF-Expert Member

  #7
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 16,284
  Likes Received: 48,641
  Trophy Points: 280
  Yaani hapo huruma wataiweka moyoni mwao badala ya kuangalia mbele.
   
 8. Q-liner

  Q-liner Member

  #8
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 4, 2017
  Messages: 91
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 25
  Hii ndo Tanzania.....na hao ndo Ccm
   
 9. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #9
  Feb 11, 2018
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 80,498
  Likes Received: 117,186
  Trophy Points: 280
  Mh! Usanii uliotukuka!!! Nataka Watanzania waishi kama mashetani! Sijaribiwi Mimi!!! :eek::eek::eek:

   
 10. kakoyo092

  kakoyo092 JF-Expert Member

  #10
  Feb 11, 2018
  Joined: Sep 26, 2013
  Messages: 654
  Likes Received: 768
  Trophy Points: 180
  Si ajaba kaenda na V8 letu la sirikali... na per diem analipwa yy na dereva Sito shangaa
   
 11. 9

  911sep11 JF-Expert Member

  #11
  Feb 11, 2018
  Joined: Jan 7, 2018
  Messages: 1,589
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  akitoka hapo kwenye ndinga yake yenye kiyoyozi
  nyumba kalipiwa
  maji buuuureeee
  posho n.k

  hao waliopigiwa magoti wakitoka hapo ni kwenda kuulizana hela ya luku
  kuomba maji kwa jirani
  kununua mkaa wa mafungu
  na kuweka maharage jikoni.
   
 12. wakatanta

  wakatanta JF-Expert Member

  #12
  Feb 11, 2018
  Joined: Feb 5, 2018
  Messages: 233
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 60
  Kampeni zina kila aina ya manjonjo, yuko sawa Ummy
   
 13. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #13
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 12,295
  Likes Received: 3,678
  Trophy Points: 280
  Zilongwa Mbali, Zitendwa Mbali :D:D
   
 14. Lukaku Tanzania

  Lukaku Tanzania JF-Expert Member

  #14
  Feb 11, 2018
  Joined: Sep 7, 2017
  Messages: 499
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 80
  Hapana bhana sema ukweli wkt mwngne mkuu hapo anawasalimia bhanaa... Shart mwanamke apige magoti hata km ni nan kicheo
  Sipendi..... .lkn pia spendi uongo
   
 15. kivyako

  kivyako JF-Expert Member

  #15
  Feb 11, 2018
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 10,342
  Likes Received: 5,580
  Trophy Points: 280
  Hiyo haitoshi awape ***** kabisa
   
 16. Dinazarde

  Dinazarde JF-Expert Member

  #16
  Feb 11, 2018
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 32,748
  Likes Received: 14,075
  Trophy Points: 280
  Ujinga ujinga tu na yatatoa kura
   
 17. successor

  successor JF-Expert Member

  #17
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 25, 2012
  Messages: 2,078
  Likes Received: 3,179
  Trophy Points: 280
  Inaonekana hali sio nzuri kwa upande wao.
   
 18. Baba Mtakatifu

  Baba Mtakatifu JF-Expert Member

  #18
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 31, 2017
  Messages: 528
  Likes Received: 584
  Trophy Points: 180
  Asee... Kazi kweli kweli... Hivi kwa haya maendeleo ya kasi ya umeme yanayoletwa na serikali huku uchumi ukikua kwa kasi ya kimbunga hadi watu wanajihudhulu nyazifa zao kuunga mkono juhudi za mheshimiwa, kuliluwa na haja ya kupiga magoti na kuomba kura kweli!!!!!!
   
 19. Maboso

  Maboso JF-Expert Member

  #19
  Feb 11, 2018
  Joined: Feb 18, 2013
  Messages: 4,346
  Likes Received: 2,769
  Trophy Points: 280
  Hakika kabisa kiyoyozi kama cha ndinga letu lenye namba KUB
   
 20. 9

  911sep11 JF-Expert Member

  #20
  Feb 11, 2018
  Joined: Jan 7, 2018
  Messages: 1,589
  Likes Received: 2,205
  Trophy Points: 280
  na huyo huaa anapiga magoti kama hivyo?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...