Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ghazwat, Feb 11, 2018.

 1. Ghazwat

  Ghazwat JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 16,336
  Likes Received: 48,681
  Trophy Points: 280
  [​IMG]

  Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Ngiriny, wilayani Siha kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk. Godwin Mollel katika kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge wa Jimbo hilo.

  Chanzo: Mtanzania Digital
   
 2. josephat manyenye

  josephat manyenye JF-Expert Member

  #81
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 3, 2017
  Messages: 544
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 180
  Ummy umefanya nini sasa? Mbona umeniangusha!!
   
 3. M

  MTOCHORO JF-Expert Member

  #82
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 18, 2016
  Messages: 2,229
  Likes Received: 2,064
  Trophy Points: 280
  Uchagani magoti hamnaga
   
 4. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #83
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,951
  Likes Received: 13,373
  Trophy Points: 280
  Siha tulinde kura zetu.
   
 5. M

  MAHORO JF-Expert Member

  #84
  Feb 11, 2018
  Joined: Sep 3, 2013
  Messages: 6,318
  Likes Received: 774
  Trophy Points: 280
  Matahira hawaishi Tanzania
   
 6. Ghazwat

  Ghazwat JF-Expert Member

  #85
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 4, 2015
  Messages: 16,336
  Likes Received: 48,681
  Trophy Points: 280
  Nampenda sana yeye binafsi kama yeye Mheshimiwa.
   
 7. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #86
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,951
  Likes Received: 13,373
  Trophy Points: 280
  unaweza kukuta hapo ulipo unanuka jasho tu
   
 8. muhamar Gadaf

  muhamar Gadaf JF-Expert Member

  #87
  Feb 11, 2018
  Joined: Jul 5, 2017
  Messages: 374
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 60
  Uzwazwa
   
 9. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #88
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,951
  Likes Received: 13,373
  Trophy Points: 280
  atakuwa kayaweka maisha yake rehani hii ni kilimanjaro siyo dodoma.tutakula nae sahani moja
   
 10. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #89
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,951
  Likes Received: 13,373
  Trophy Points: 280
  ccm imewafanya watanzania mataahira sana
   
 11. c

  chikundi JF-Expert Member

  #90
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Polisi wa ccm watamlinda. Mbona mara zote wanafanya kwa mazingira hayahaya kuna nini kipya?
   
 12. c

  chikundi JF-Expert Member

  #91
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Haibadilishi chochote.
   
 13. k

  kirengased JF-Expert Member

  #92
  Feb 11, 2018
  Joined: Jan 10, 2016
  Messages: 2,235
  Likes Received: 1,761
  Trophy Points: 280
  Navojuwa magoti huwa anapigiwa Mungu kumbe khaaa ukiwa umetingwa unaweza mpigia magoti hata mtoto wako duuh!
  Ccemu shindeni tuu maana wanaogopa wakishindwa mkulukulu atakasirika na siajabu hasira zikawaishia wao!!
   
 14. Makuku Rey

  Makuku Rey JF-Expert Member

  #93
  Feb 11, 2018
  Joined: Dec 31, 2013
  Messages: 1,733
  Likes Received: 1,110
  Trophy Points: 280
  sasa uchaguzi Wa nn tena?Maana CHADEMA ndo imechukua ubunge wake!!
   
 15. ram

  ram JF-Expert Member

  #94
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 6,569
  Likes Received: 1,256
  Trophy Points: 280
  The Boss hivi upo....miss you so much

  Hao wapiga kura wakiingia mkenge watakuwa ni wao wenyewe tu sasa
   
 16. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #95
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,951
  Likes Received: 13,373
  Trophy Points: 280
  pambana na hali yako wenzako wameshiba shtuka acha kuwa boya.
   
 17. Waterloo

  Waterloo JF-Expert Member

  #96
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 12,951
  Likes Received: 13,373
  Trophy Points: 280
  kilimanjaro polisi wako chadema hawataki hata kusikia hilo lichama la majambazi
   
 18. M

  Mnasihi JF-Expert Member

  #97
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 9, 2013
  Messages: 4,120
  Likes Received: 2,456
  Trophy Points: 280
  Wanasiha msilogwe na magoti ya huyo bi dada kwani anawasanifu tu kwa lugha ya kihenga! Mpigeni chini huyo masai mchovu akachunge ng'ombe kwani kazi ya ubunge aliikataa mwenyewe licha ya ninyi kumpa kama alivyoomba! Hana maana huyo na hata wanaomkampenia ni walewale wachumia tumbo! Mwadhibuni tu kumwonyesha kuwa hamjaribiwi! Nawaaminia wanasiha kuwa mna msimamo usioyumba hasa kipindi kile mlipombwaga Mwanri mlinifurahisha sana na sasa ni zamu ya mollel! Msimpe hata moja!
   
 19. c

  chikundi JF-Expert Member

  #98
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Lazima ugombewe upya.
   
 20. Mafwi Munda

  Mafwi Munda JF-Expert Member

  #99
  Feb 11, 2018
  Joined: Nov 30, 2017
  Messages: 1,766
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Hahaha yani polisi wasiposhiriki uchaguzi unanoga kweli.
   
 21. c

  chikundi JF-Expert Member

  #100
  Feb 11, 2018
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Watapelekwa wa Dodoma.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...