Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel

1000 digits

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Messages
3,015
Likes
1,523
Points
280

1000 digits

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2012
3,015 1,523 280
Wanahitaji mkurugenzi tu miujiza ya nini?
Nazungumzia ushindi wa kura.
Ufisadi wa kura sio jambo la kujivunia .
Wizi wa kura ndio uliozaa ujinga ,ufisadi,uhuni, ubadhirifu, umaskini, viongozi wa bovu, viongozi wauaji, viongozi wasio na huruma kwa wananchi, viongozi wasiojali wananchi, viongozi wababaishaji, viongozi wasio wa kweli, viongozi wanafiki, viongozi wenye tamaa ya madaraka, viongozi wasiojali haki za binadamu, viongozi wasiomwogopa hata Mungu kwa kujiona wao ni zaidi ya Mungu kwa sababu ya kuzungukwa na majeshi, viongozi wasioweza kuwaunganisha watanzania wakaungana kuleta maendeleo, viongozi wasanii. Viongozi wasio na sifa. Viongozi wanaosimama nyuma ya sifa za rais bila wao kuwa na maono.

Wizi wa kura ni mbaya kuliko ujangili mana huu ndio unaowaweka majangili madarakani na kujaza madiwani majangili wa mali za halmashauri.
Serikali haina wasimamizi wala washauri mana wabunge 80% ni watetezi na walinda maslahi ya watawala wa serikali ambao wana mapungufu waliyopaswa kukosolewa. Ni wabunge wanaolipa fadhila za kuibiwa kura na hao watu walioapa kulinda katiba na sheria za nchi ikiwemo sheria za uchaguzi.

Tunashabikia uasi wa taifa hili .
Halimashauri nyingi zimeshindwa kusimamia pesa za maendeleo kwa sababu Nchi hii ina wabunge naadiwani wengi waliopata nafasi hizo kwa kupendelewa kwa kura za wizi.
Matokeo yake wanawalipa wakurugenzi fadhila kwa kufumbia macho wizi na matumizi mabaya ya pesa za maendeleo unaofanywa na Wakurugenzi .

Kwa hiyo ninapomuona mtu anajisifia kwa kuiba kura namfananisha na jambazi anayejisifia kuwa ni tajiri.
Tunakokwenda hayo mambo yataisha na waliopigania ili yaishe ndio watakaobaki katika kumbukumbu za vitabu na kuenziwa milele bali wale waliofanya upuuzi wataangamia na kupotea na kumbukumbu za utawala wao hautatajwa kamwe.

Dunia yote inazungumzia uadilifu sio wizi.
Kila mwanadamu mwenye akili timamu anapinga wizi wa aina zote ikiwemo wizi wa kura.
Majizi ya kura iko siku yatalipwa sawa sawa na matendo yao maovu na ya kihuni. Haya ndiyo yanayoza mafisadi ndani ya mifumo.
Kama vyombo vya dola vitasimamia wizi wa kura ,basi kesho ukisikia kuwa kuna mkataba mbovu ni dhahiri kuwa mbunge aliyeiba kura kwa msaada wa serikali hawezi kuhoji wizi wa viongozi wa serikali bungeni.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2014
Messages
24,546
Likes
16,617
Points
280

barafuyamoto

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2014
24,546 16,617 280
bde50b169911aabe96abe1eac86aa8c7.jpg

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akiwapigia magoti wananchi wa Kijiji cha Ngiriny, wilayani Siha kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk. Godwin Mollel katika kampeni ya uchaguzi mdogo wa marudio ya ubunge wa Jimbo hilo.

Chanzo: Mtanzania Digital
Alikuwa anasalimia wazee hapo.
 
chikundi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
8,258
Likes
2,260
Points
280
Age
48

chikundi

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2016
8,258 2,260 280
Nazungumzia ushindi wa kura.
Ufisadi wa kura sio jambo la kujivunia .
Wizi wa kura ndio uliozaa ujinga ,ufisadi,uhuni, ubadhirifu, umaskini, viongozi wa bovu, viongozi wauaji, viongozi wasio na huruma kwa wananchi, viongozi wasiojali wananchi, viongozi wababaishaji, viongozi wasio wa kweli, viongozi wanafiki, viongozi wenye tamaa ya madaraka, viongozi wasiojali haki za binadamu, viongozi wasiomwogopa hata Mungu kwa kujiona wao ni zaidi ya Mungu kwa sababu ya kuzungukwa na majeshi, viongozi wasioweza kuwaunganisha watanzania wakaungana kuleta maendeleo, viongozi wasanii. Viongozi wasio na sifa. Viongozi wanaosimama nyuma ya sifa za rais bila wao kuwa na maono.

Wizi wa kura ni mbaya kuliko ujangili mana huu ndio unaowaweka majangili madarakani na kujaza madiwani majangili wa mali za halmashauri.
Serikali haina wasimamizi wala washauri mana wabunge 80% ni watetezi na walinda maslahi ya watawala wa serikali ambao wana mapungufu waliyopaswa kukosolewa. Ni wabunge wanaolipa fadhila za kuibiwa kura na hao watu walioapa kulinda katiba na sheria za nchi ikiwemo sheria za uchaguzi.

Tunashabikia uasi wa taifa hili .
Halimashauri nyingi zimeshindwa kusimamia pesa za maendeleo kwa sababu Nchi hii ina wabunge naadiwani wengi waliopata nafasi hizo kwa kupendelewa kwa kura za wizi.
Matokeo yake wanawalipa wakurugenzi fadhila kwa kufumbia macho wizi na matumizi mabaya ya pesa za maendeleo unaofanywa na Wakurugenzi .

Kwa hiyo ninapomuona mtu anajisifia kwa kuiba kura namfananisha na jambazi anayejisifia kuwa ni tajiri.
Tunakokwenda hayo mambo yataisha na waliopigania ili yaishe ndio watakaobaki katika kumbukumbu za vitabu na kuenziwa milele bali wale waliofanya upuuzi wataangamia na kupotea na kumbukumbu za utawala wao hautatajwa kamwe.

Dunia yote inazungumzia uadilifu sio wizi.
Kila mwanadamu mwenye akili timamu anapinga wizi wa aina zote ikiwemo wizi wa kura.
Majizi ya kura iko siku yatalipwa sawa sawa na matendo yao maovu na ya kihuni. Haya ndiyo yanayoza mafisadi ndani ya mifumo.
Kama vyombo vya dola vitasimamia wizi wa kura ,basi kesho ukisikia kuwa kuna mkataba mbovu ni dhahiri kuwa mbunge aliyeiba kura kwa msaada wa serikali hawezi kuhoji wizi wa viongozi wa serikali bungeni.
Kama kweli wanaiba kura upinzani ujitoe usipojitoa ni uwongo tu hakuna wizi ni excuse za kushindwa, watu wanahangaika mpk kutumia mawaziri wao wote, kupiga magoti n.k halafu eti wanaiba.
 
Allen Alfred

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Messages
720
Likes
819
Points
180

Allen Alfred

JF-Expert Member
Joined Nov 22, 2015
720 819 180
Hili swala la mawaziri wakiwa na wateuliwa wengine kwenye nafasi za utumishi na kwakutumia rasilimali za nafasi zao,je sheria inawaruhusu kuwapigia wagombea wa chama fulani kampeni!? Kama inaruhusu hakuna shida ila kama hairuhusu iko taabu kwelikweli kwenye safari ya ukombozi.
 
jebs2002

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2008
Messages
5,274
Likes
3,230
Points
280

jebs2002

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2008
5,274 3,230 280
Sijali nani atapata, tatizo wakiingia madarakani, angalia yale mavumbi na mamoshi ya Ma VX yakavyoishia kwa raia! Huyo anayepigiwa magoti akiingia madarakani hatajali haya magoti, kura wala kula aliyopewa na raia, kero na malalamiko wataambiwa wasimsumbuwe, kwanza hata raia kuingia tu ofisi yake kueleza shida wataambiwa yuko bize na mikutano/safari au anakunywa chai! Kumbe siajabu wanasoma tu magazeti au kumshughulikia mtu ofisi! Ndio kwani hatujuwi?! Sisi raia mazuzu sana..
 
Northman

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2016
Messages
229
Likes
251
Points
80
Age
23

Northman

JF-Expert Member
Joined Dec 22, 2016
229 251 80
Hawa watu wakiwa wanaomba kura huwa wanakuwa kama machizi kabisa, yaani kama uchaguzi ungefanyika kila mwezi wangekua wameshageuka misukule.
 
1000 digits

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2012
Messages
3,015
Likes
1,523
Points
280

1000 digits

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2012
3,015 1,523 280
Kama kweli wanaiba kura upinzani ujitoe usipojitoa ni uwongo tu hakuna wizi ni excuse za kushindwa, watu wanahangaika mpk kutumia mawaziri wao wote, kupiga magoti n.k halafu eti wanaiba.

Dawa sio kujitoa.
Dawa ni jamii kuwakataa wezi kwa nguvu zote.

Wezi hawakubaliki kokote duniani hata mbingu.
Uadilifu wa Mkurugenzi unakoma pale anaposhindwa kulinda amani ya nchi kwa kupindua matokeo kwa kura za wizi.

Mwizi ni mwizi tu. Ukiiba kura hata pesa za halmashauri utaiba mana ni roho ya ubinafsi.

Hakuna kupambana na ufisadi kama magenge ya wezi yanajipanga na kushinda uchaguzi kwa wizi.Tujenge kwanza mifumo ya kupata viongozi kwa kuzingatia sheria za uchaguzi tulizojiwekea na kuziheshimu.
Uhalifu ni kuvunja sheria.
Bila sheria kufuatwa huwezi kumhukumu mkosaji.
Tuanze na makosa ya wazi kama haya ya ulaghai wakati wa uchaguzi.
 
chikundi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2016
Messages
8,258
Likes
2,260
Points
280
Age
48

chikundi

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2016
8,258 2,260 280
Dawa sio kujitoa.
Dawa ni jamii kuwakataa wezi kwa nguvu zote.

Wezi hawakubaliki kokote duniani hata mbingu.
Uadilifu wa Mkurugenzi unakoma pale anaposhindwa kulinda amani ya nchi kwa kupindua matokeo kwa kura za wizi.

Mwizi ni mwizi tu. Ukiiba kura hata pesa za halmashauri utaiba mana ni roho ya ubinafsi.

Hakuna kupambana na ufisadi kama magenge ya wezi yanajipanga na kushinda uchaguzi kwa wizi.Tujenge kwanza mifumo ya kupata viongozi kwa kuzingatia sheria za uchaguzi tulizojiwekea na kuziheshimu.
Uhalifu ni kuvunja sheria.
Bila sheria kufuatwa huwezi kumhukumu mkosaji.
Tuanze na makosa ya wazi kama haya ya ulaghai wakati wa uchaguzi.
Wanawakataaje?
 
Forum statistics

Threads 1,191,564
Members 451,695
Posts 27,713,671