Picha:wapenzi mashoga na wasagaji zaidi ya 370 wafunga ndoa ya pamoja uko brazil

Du hapa ndo tumefika! Wabongo kwa kupenda kuiga muda si mrefu watayaiga haya mambo
 
End time things.
1463959_Gay_1_jpgd42f982ed7b803dd2a3dabe16e261179

1463960_Gay_3_jpg680bdb8080c80957fdc4ff461e41aed4

1463961_Gay_4_jpgb9dc640014b8e91383fc29b4cf453112

1463962_Gay_5_jpg171e84b4d86fb62e310ce365efef8dcc



More Picture
1463963_Gay_6_jpg82d93a544a025e4997c9c28a676b6c59

1463964_Gay_7_jpg4eff651807f9e3e636502698cac7565a

1463965_Gay_10_jpg891709cadba4ac8684c20ebe6d76bb58

1463966_Gay_11_jpg6d1f604b82c1c0e8af8606f5edc6e95f



na wako vizuri tu,wana JF tufunge tusali hizi ni harama za mwisho wa dunia

Kweli kabisa hizi ni HARAMA za mwisho wa dunia, tukeshe tukisali sana na kuomba
 
Jamani bwana yu mawinguni tayari kuja kunyakua walio wake. Kaeni tayari kumpokea kwa sababu yu jirani sana kufika.
 
Dunia ina mguu mmoja sasa,hii ni kujiombea laana :frusty:kwa Mungu wetu. Hatari sana.
 
Kuna mambo yanatia hasira sana hapa duniani..

Wajiandae kwenda motoni..

Ole wao viongozi watakao tuletea huu upumbafff Tanzania..
 
Shikamoo Yesu...ulisema utarudi kwa mara nyingine baba ila nadhani umezidiwa na majukumu Mwana wa Mungu! Tunakuomba upatapo wasaa hebu rudi mara moja kuna watu wananajisi uumbaji Bwana...
 
Kwakweli inatia huruma kwa sisi wenye imani inayotambua amri za mungu!

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom