Picha:wapenzi mashoga na wasagaji zaidi ya 370 wafunga ndoa ya pamoja uko brazil


Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
End time things.


More Picture


na wako vizuri tu,wana JF tufunge tusali hizi ni harama za mwisho wa dunia
 
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
7,350
Likes
5,509
Points
280
Threesixteen Himself

Threesixteen Himself

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
7,350 5,509 280
!
!
kombe la dunia mchezo....utaona quatar itakuwaje,
 
M

Mabelana

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Messages
482
Likes
123
Points
60
M

Mabelana

JF-Expert Member
Joined Sep 17, 2010
482 123 60
End time things.


More Picture


na wako vizuri tu,wana JF tufunge tusali hizi ni harama za mwisho wa dunia
EEE Yesu rudi haraka Dunia imekuwa uwanja wa ajabu, binadamu wakuwa na akili mbaya kuzidi za wanyama. Kwani hakuna mnyama anayeweza kumwingilia mwingine kinyume na maumbile ila binadamu wanafanya hivyo, hakuna mnyama anayefanya mapenzi ya jinsia moja lakini binadamu wanafanya hivyo. Dah!.
 
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Messages
13,097
Likes
389
Points
180
Money Stunna

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2011
13,097 389 180
hao wengine wanaoonekana kama mwanamke na mwanaume ni kuwa wote wanaume ila mmoja amefanya plastic surgery awe kama mwanamke
 
Tulizo

Tulizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Messages
849
Likes
22
Points
35
Tulizo

Tulizo

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2011
849 22 35
Picha inaongea mambo mengi...sijui huyo mtoto anawaza nini? Probably "Losers"....May be.."Hata mimi nikiwa mkubwa nitaolewa na ..."

 
bysange

bysange

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Messages
4,418
Likes
100
Points
160
bysange

bysange

JF-Expert Member
Joined Jan 11, 2011
4,418 100 160
Mungu baba wajua tuyafanyayo ya wazi na yaliyojificha,kwako sisi ni wakosefu na mipaka tumevuka kwa kukukosea,onajinsi watu walivyojihalalishia yale uliokataza,tufanye nini kwako iliutusamehe eeeeh Mungu,mrudishe mpendwa wako atuokoe na gharka hizi,twaomba haya kwa unyenyekevu mbele yako...Amina
 
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2011
Messages
5,729
Likes
3,179
Points
280
Jaslaws

Jaslaws

JF-Expert Member
Joined May 31, 2011
5,729 3,179 280
Kuna jamaa kamfanana neyma wa barca hapo
 
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Messages
4,683
Likes
6,446
Points
280
Sir_Mimi

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined Jun 21, 2013
4,683 6,446 280
Picha inaongea mambo mengi...sijui huyo mtoto anawaza nini? Probably "Losers"....May be.."Hata mimi nikiwa mkubwa nitaolewa na ..."

View attachment 126715
Mkuu umeona mbali sana!!!!huyu dogo hana chakujifunza hapo zaidi yakutamani kuyafanya hayo hayo wanayofanya kaka zake..so sad!
 
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2012
Messages
1,740
Likes
9
Points
0
Young Tanzanian

Young Tanzanian

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2012
1,740 9 0
Mungu baba nini hii tuepushe na hii laana tukeshe tukisali dunia imefika mwsho..moods ondoa hii kitu masons wanaarbu kizazi hiki kwa faida yetu na watoto moods ondoen hii kitu
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,697
Likes
3,921
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,697 3,921 280
Mwenyezi mungu tuepushe na hayo.ni uchafu kupitiliza.
 

Forum statistics

Threads 1,252,079
Members 481,989
Posts 29,794,899