baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.
Akachome ya dkt Slaa, kadi hata zenyewe hata tano hazifiki jamani. Katibu wangu ccm udom ana kama mia na ushenzi zimerudishwa withi one month.
Dawa ya kiburi ni jeuri by sugu...........nakumbuka kuna kipindi jamaa mmoja kule iramba alimvisha mbwa bendera ya cdm
Akachome ya dkt Slaa, kadi hata zenyewe hata tano hazifiki jamani. Katibu wangu ccm udom ana kama mia na ushenzi zimerudishwa withi one month.
Mashujaa wanaoweza kuthubutu wanaongezeka. Lisu kawazidi ubunifu kina nepi na mwigulu sijui hili la kuchoma kadi za magamba watalijibu vipi.
Kwa kuzichoma hizo kadi ni sawa kabisa kwani ukibaki nayo/nazo mwisho wa siku wanakuzushia ya Dr. Slaa.
Mashujaa wanaoweza kuthubutu wanaongezeka. Lisu kawazidi ubunifu kina nepi na mwigulu sijui hili la kuchoma kadi za magamba watalijibu vipi.