Picha: Wananchi warudisha kadi za CCM, Lissu azichoma moto - Ifakara

Huu ni ujinga wa kutojitambua inawezakana viongozi wengi wa CHADEMA wanaongozwa na jazba badala akili wendawazimu sio lazima kwenda uchi
 
Huu ni ujinga wa kutojitambua inawezakana viongozi wengi wa CHADEMA wanaongozwa na jazba badala akili wendawazimu sio lazima kwenda uchi

Wachawi wanalalamika kuchomewa matunguri yao
 
Hivi hatuwezi kuendesha siasa zetu bila kupandikiza cbuki. Unachoma kadi ili iweje? Tunafanya mambo yatakayotudhuru siku za usoni. Ningependa tuwafundishe watu wetu kukataa chamabila chuki, kukataa sera bilakugombana. Hii itafikiwa ikiwa wanasiasa wetu hawatatembea kueneza chuki!
 
Hizi kadi ni zile alizokuwa nazo siku zote mojawapo ni slaa ambayo alikuwa hajarudisha.
 
Huu ni ujinga wa kutojitambua inawezakana viongozi wengi wa CHADEMA wanaongozwa na jazba badala akili wendawazimu sio lazima kwenda uchi
Mimi simshangai lisu make anaumwa alichofanya ndivyo akiri yake ilivyomtuma.
 
Chochote unachokiasisi lazima siku moja kikugharimu leo ni mara ya pili lisu anachoma kadi za chama kingine mara ya kwanza alichoma kadi za ccm na cuf singida jimboni kwake.
 
Nina wasiwasi na dhamira ya kweli ya watu hao waliotoa kadi zao kuchomwa! Watu wa vijijini are not principled! Akija mwingine kesho watafanya hivyo hivyo! Sijui anyway!
 
Siasa za namna hiyo ni hatari sidhani kama zinasaidia kukuza demokrasia zaidi ya visasi, kesho utaona CCM nayo wanatafuta kadi za Chadema wanazichoma moto.
Dawa ya moto ni moto choma kabisa.mbona maccm yalichanachana magwanda ya shonza na mtela. Jukwaani mbeke za mkutano wao?walipofukuzwa chadema na. So sioni ubaya wa lissu kuchoma moto hizo kadi za ccm.
 
Kichwa cha Lissu kina matatizo hana tofauti na wahuni wa Tandale.
 
Haka kamchezo nimekapenda, yaani watu wanalipwa elf 5 na kumi kumi ili wachkue kadi, afu tena wanazipeleka kwa watani wa mlipaji wao, nae mtani ndo kabisaaa anazichoma moto ili kuziondoa kwenye mzunguko, inabidi mlipaji achonge zingine tena kufidia hizi zilizoteketezwa kwa moto, aargh!!
baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.
 
baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.

Kuna statement imetoka Mbeya very impressing "Chadema wanajitekenya halafu wanacheka wenyewe" sasa hao wamenunuliwa kadi wakaambiwa wazirudishe! Then naye anathubutu kuandika hilo kama habari......
 
Siasa za namna hiyo ni hatari sidhani kama zinasaidia kukuza demokrasia zaidi ya visasi, kesho utaona CCM nayo wanatafuta kadi za Chadema wanazichoma moto.
Ila Mwigulu alopochana hotuba ya bajeti ya upinzani mwaka jana hilo lilikuwa sahihi!!!!
 
Back
Top Bottom