Picha: Wananchi warudisha kadi za CCM, Lissu azichoma moto - Ifakara

Lua

JF-Expert Member
May 19, 2011
704
305
baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    448.9 KB · Views: 2,532
  • image.jpg
    image.jpg
    375.5 KB · Views: 3,097
  • image.jpg
    image.jpg
    464.1 KB · Views: 2,253
  • image.jpg
    image.jpg
    477.6 KB · Views: 2,093
  • image.jpg
    image.jpg
    367.1 KB · Views: 2,197
Kwanini CHADEMA Mnaanza kipya halafu Wengine Wanafuata???

Ukiangalia MAGWANDA... ULIBERALI na Sasa hiyo ya MAFUTA ya TAA KADI... mnatuumiza ROHO zetu Wengine hatujui how to OUTPERFORM tunaongea Maneno Machafu Kwenye Majukwaa...
 
Kwa kuzichoma hizo kadi ni sawa kabisa kwani ukibaki nayo/nazo mwisho wa siku wanakuzushia ya Dr. Slaa.
 
Akachome ya dkt Slaa, kadi hata zenyewe hata tano hazifiki jamani. Katibu wangu ccm udom ana kama mia na ushenzi zimerudishwa withi one month.
 
Dawa ya kiburi ni jeuri by sugu...........nakumbuka kuna kipindi jamaa mmoja kule iramba alimvisha mbwa bendera ya cdm
 
Mashujaa wanaoweza kuthubutu wanaongezeka. Lisu kawazidi ubunifu kina nepi na mwigulu sijui hili la kuchoma kadi za magamba watalijibu vipi.
 
Akachome ya dkt Slaa, kadi hata zenyewe hata tano hazifiki jamani. Katibu wangu ccm udom ana kama mia na ushenzi zimerudishwa withi one month.

Tumesha wazoea nyie masalia na taarab zenu, yaani bila kumtaja Dr. Slaa mkono hauendi kinywani.
 
Siasa za namna hiyo ni hatari sidhani kama zinasaidia kukuza demokrasia zaidi ya visasi, kesho utaona CCM nayo wanatafuta kadi za Chadema wanazichoma moto.
 
Akachome ya dkt Slaa, kadi hata zenyewe hata tano hazifiki jamani. Katibu wangu ccm udom ana kama mia na ushenzi zimerudishwa withi one month.

Ndo kawaida ya matoto ya Mlacha..miaka yote huwa wanafanya ivo,wanajua na kina Mavunde Anthony wanawadanganya wakimaliya tu,CCM itawapa kazi
 
Mashujaa wanaoweza kuthubutu wanaongezeka. Lisu kawazidi ubunifu kina nepi na mwigulu sijui hili la kuchoma kadi za magamba watalijibu vipi.

MAGAMBA wasivyo kuwa na ubunifu, utasikia kadi za CHADEMA wamezitumbukiza chooni! Wewe subiri utasikia leo hii!!!!
 
Back
Top Bottom