Kichwa cha Lissu kina matatizo hana tofauti na wahuni wa Tandale.
Hizi kadi ni zile alizokuwa nazo siku zote mojawapo ni slaa ambayo alikuwa hajarudisha.
Psalm 34:12 What man is there who desires life and loves many days, that he may see good? 13 Keep your tongue from eviland your lips from speaking deceit. 14 Turn away from evil and do good; seek peace and pursue it.15 The eyes of the Lord are toward the righteousand his ears toward their cry. 16 The face of the Lord is against those who do evil, to cut off the memory of them from the earth. 17 When the righteous cry for help, the Lord hears and delivers them out of all their troubles. 18 The Lord is near to the brokenhearted and saves the crushed in spirit. 19 Many are the afflictions of the righteous,but the Lord delivers him out of them all. 20 He keeps all his bones; not one of them is broken.
Hizi kadi ni zile alizokuwa nazo siku zote mojawapo ni slaa ambayo alikuwa hajarudisha.
Wangezichambia kabisa
baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.
Kichwa cha Lissu kina matatizo hana tofauti na wahuni wa Tandale.
Kazi kwelikweli, nampongeza lissu kwa ubunifu!
Anahangaika kwa wenzake kwake kwaungua moto...afadhali umeng'amua mapema maana huna chako Jimboni kwako. Endelea kuboresha nyumba za wenzako we kwako unalala chini
pole mkuu lakini si ni upepo tu
Anahangaika kwa wenzake kwake kwaungua moto...afadhali umeng'amua mapema maana huna chako Jimboni kwako. Endelea kuboresha nyumba za wenzako we kwako unalala chini
Lissu atakuwa mbunge wa kwanza kuaga Jimboni kwake Hilo halina ubishi kabisa
pole mkuu lakini hasira haijengi, nenda kapate kinana bariiidi nawe utafufuka kiakili.