Picha: Wananchi warudisha kadi za CCM, Lissu azichoma moto - Ifakara

wakuu hiyo kuchoma falsafa yake ni kuwa wakipokea zingine wasiseme ni zile za ifakara yaani anapoteza ushahidi kama kulikuwepo chama kinaitwa ccm maana watoto wetu awapaswi kabisa kujua kuwa lilikuwepo hili joka
 
Tundu ana kichaa huyu huwezi choma moto kadi za chama cha watu

Zile zilikuwa kadi za watu ulitaka achome za Ng'ombe?Lakini Sidhani Kama kuchoma kadi ni Tiba ya Kero Za Wananchi ! Kwani huenda vyama vyote wakaiga Tabia za Kuchoma Kadi na kushuhudia Wimbi jipya la Mwenge mpya wa uchomaji kadi mbali mbali
 
baada ya kutoa hotuba nzito na zenye kugusa matatizo ya wananchi, wananchi hao walirudisha kadi zao na kwa kuwa kadi hizo lissu hakuja nazo akazichoma moto.

Ish! Mbona siku hizi zinatengenezwa mitaani? Na hizo zaweza kuwa miongoni mwazo.
 
Huenda Lisu amezindua kampeni isiyo rasmi ya Choma Kadi pata Mpya lakini kampeni hii endapo itasambaaa vyama vyote lazima tutashuhudia Vioja vya Kuchoma kadi kila Mikutano ya Siasa za Bongo yetu kumbuka leo Kadi kesho itakuwa Tshat nk Chezea moto wewe ......
 
Lilambo; Kumbe ndiyo maana UDOM wanakiita chuo cha kata, sababu kubwa ni kuwepo kwa vijana wenye fikra kiduchu kama wewe.Soma uelimike na siyo kusujudia watu..."Wasomi wamekuwa watumwa wa wanasiasa" (By Joh Makini)
 
Last edited by a moderator:
Li Tundu Lissu ndio linakufa na Lichamdomo litakufa lakini CCM never........chezea CCM wee. Jiulize why vyama vingine Kama KANU etc lakini CCM inadunda

Li CCM limekufa mikononi kwa li KJ! Ndio kufa kwenyewe huko...unaweza usiamini lkn ndivyo hivyo mafisadi hawatakiwi tena nchi hii!!
 
Li Tundu Lissu ndio linakufa na Lichamdomo litakufa lakini CCM never........chezea CCM wee. Jiulize why vyama vingine Kama KANU etc lakini CCM inadunda

una akili sana ujue...! Mmefanikiwa sana kuwekeza kwenye UJINGA ndiyo maana mnaendelea kujikongoja,lakini hata mnaowalundikeni kwenye magodown kama pamba na kuyabatiza jina la shule za kata japo hawana walimu lakini wameanza kung'amua adui yao HALISI ni nani.
 
kwa tukio hilo chadema wametangaza biashra ya kadi zao. kesho mwigulu atatuma wajinga wakanunue kadi za chadema ili nae akachome. mwigulu utakuwa umecopy then utakuwa umechoma pesa yako japo ni za wizi
 
Li Tundu Lissu ndio linakufa na Lichamdomo litakufa lakini CCM never........chezea CCM wee. Jiulize why vyama vingine Kama KANU etc lakini CCM inadunda
hii inatokana na watu wasio na endelevu kama wewe,jifanyie tathmini.
 
Poa sana hii. Bado tunawasubiri Mkapa na mwenziwe Lowassa tu ili CCM ife moja kwa moja na kupotea milele.
 
CUF walichana hotuba ya chadema na mwigulu pia alichana hotuba ya chadema pia umbwa alivalishwa tshat Sasa Lisu Kazichoma kadi ! Hv ni vioja vya siasa za Tanzania tutashuhudia wimbi la kadi kuchomwa kila mikutano ya Siasa chezea siasa za Bongo wee...
 
Back
Top Bottom