palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,455
Hatimaye Katie Gee and Kirstie Trup, wasichana waliomwagiwa tindikali zanzibar wamewasili nchini Uingereza kwa matibatu zaidi. Familia zao zimetoa picha ya namna miili yao ilivyoharibiwa na tindikali.
Ina huzunisha sana
Kwani umeambiwa Serikali ni uamsho?Hapa lazima serikali itoe majibu! wakina HAMY-D na LUKOSI watakuwa na majibu sahihi kwani ndio watetezi wa kila kitu kibaya kinacho fanyika chini malezi mabaya ya utaratibu wao!!!!!!!!!!!!!!!! Basi wacha tuwasikie!
Hicho ni kitendo cha uoga, mara nyingi waoga hawawezi kujitokeza na kutoa dukuduku, hawana hoja ndio maana hawaezi kujitokeza,Kwa nini kama mtu anajiamini asitoe dukuduku lake kuliko njia ya kudhuru mtu asiye na hatia kwa chuki binafsi.
Uamsho
Hatimaye Katie Gee and Kirstie Trup, wasichana waliomwagiwa tindikali zanzibar wamewasili nchini Uingereza kwa matibatu zaidi. Familia zao zimetoa picha ya namna miili yao ilivyoharibiwa na tindikali.
Kwani umeambiwa Serikali ni uamsho?
Hao waliofanya hivyo ni wapumbavu wachache wanaojifanya wao wanaijua dini kuliko hata walioileta
Mbona ndugu zao wamejazana huku UK wanapewa malezi kama kuku wa mayai na hawabughuziwi sembuse kwao vumbi tupu na watu wanenda huko kutalii tu wala hakuna mwenye mpango wak kuishi kwenye magofu
Mfumo kristo @work.