Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,104
- 165,306
Ha ha ha Mwamba028 huyu jamaa kama wewe vile....
....ebwana weee si mchezo !!!
![]()
Attachments
Last edited by a moderator:
Ha ha ha Mwamba028 huyu jamaa kama wewe vile....
....ebwana weee si mchezo !!!
![]()
una weza sema wame edit...! kumbe kitu real,..ama?
jamani!!! hiyo picha ya kwanza imeniacha hoi
Jamani hawa ndugu zetu toka pande za Bukoba (Wahaya) wamezidi mbwembwe mpaka harusini huyu bwana harusi alileta mashauzi kwenye harusi kwa kuruka mpaka suruali ikachanika (ikatatuka) Aibuuuu!!!

Hivi kuenzi mila au kuonesha furaha ni mbwembwe?
....
.....shingo ya upanga !!!
![]()
Hatariii! huyu jamaa ana mbwembwe utadhani ndo kwanza anaanza yale mambo yetu
Labda ndo alikuwa anaenda kupewa dudu kwa mara ya kwanza.....