Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

BUKOBAWADAU+LEO.jpg

Ni shidaaa:beer: hapo ukute miguu INA magaga na fungus😱 kaziii kwelikweli
 
Hapo mc akitangaza sijui gari no T 234.... or T 666... aende nje kuna shida kdg utasikia ahaaa sema mwenye Vogue jeusi au V8 sababu anawezi akaenda ukakuta ni carina,vitz.Chezea wakina Rotoshobia😕
 
This is a special day to him. It may not come again in his lifetime
He has all the reasons to celebrate a milestone in his life.

'Kuruka aruke Mmasai akiruka Mhaya ni misifa.' Pls kama hujui tamaduni za watu usi comment! Ungekaa kimya tungekuona una busara.

Mkuu nawashangaa wanaosema kuruka kwa huyu Bwana ni kutafuta sifa. Hapo walikuwa wanacheza ngoma na kuna ngoma moja ya kihaya uwa wanacheza wanaruka juu, sasa sijui misifa hiyo inayosemwa ni kwa kijana kudumisha mila za kwao au labda kuna jingine?

Tiba
 
hahahaaa!! i am very sorry my queen mahondaw!

jamani herufi k na L si unajua ziko karibu sana! basi ile high typing speend nikajikuta nabonyeza L! lol.

haya naja pembe mashariki tuongee kipenzi!

teh was kidding jamani my lolipopu i know ts just a typing error enhee how's things going ova there juz kati ulipotea kidogo. nkakusaka wee but where!
 
Last edited by a moderator:
teh was kidding jamani my lolipopu i know ts just a typing error enhee how's things going ova there juz kati ulipotea kidogo. nkakusaka wee but where!

hahahaaa!!! i left to your fellow wife! lol.

come to PM so zat we wont disturb the pipoz thread. lovyooo!
 
Jamani hawa ndugu zetu toka pande za Bukoba (Wahaya) wamezidi mbwembwe mpaka harusini huyu bwana harusi alileta mashauzi kwenye harusi kwa kuruka mpaka suruali ikachanika (ikatatuka) Aibuuuu!!!


Sasa kuruka ni kwa vipi ni mbwembwe, we una chuki na wahaya au una lako jambo!
 
hahahaaa!!! i left to your fellow wife! lol.

come to PM so zat we wont disturb the pipoz thread. lovyooo!

haaaah!! siamini Excel unaona aibu!! one time mwambie awe anakuachia achia basi uwe unakuja kuchungulia na huku jamani lol!!
 
hiyo ndio siku ya muhimu katika maisha yake, mbwembwe zote ana haki ya kuzifanya inatokea mara moja tu na kuna wengine wanatamani wafurahiye cku kama hyo lakini hawaipati! mwacheni mwenzenu asogeze mzigo kariiiiibu sio kuibaiba kila siku!
 
Back
Top Bottom