Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

Picha: Wahaya mbwembwe mpaka harusini

😀
ilikuwa kwenye schedule...

sijaona tatizo hapo liko wapi! lol...

mbona mizungu inafungu ndoa ikiwa uchi wa mnyama mbuzi?

hivi kulikuwa na senene kweli?

Hivi unawajua senene.
Ni chakula cha kitajiri hapo walikuwa ina ni zawadi kwa maharusi zawadi babkubwa.
 
Excel upo hapo ndo breakfast yangu ya leo
 
Attachments

  • 1402834884013.jpg
    1402834884013.jpg
    64.3 KB · Views: 761
Last edited by a moderator:
hawa watu sitaki hata kuwasikia ninafanya nao kazi yani mungu tu anatusaidia tusio wahaya hapa ofisini! mkiwa ofisini sana kila kitu ni iweee iweee waguna agasibayo wabonaki yan kazi ipo mbaya zaidi hata halmashauri wamejaa wahaya kibao ukienda maafisa utumishi wanakusalimia kihaya wakiona wewe ni mnyamahanga utaisoma namba!! ee mungu nisaidie nifanikiwe kuhama huu mkoa. aimeeen!
 
hawa watu sitaki hata kuwasikia ninafanya nao kazi yani mungu tu anatusaidia tusio wahaya hapa ofisini! mkiwa ofisini sana kila kitu ni iweee iweee iweee yan kazi ipo mbaya zaidi hata halmashauri wamejaa wahaya kibao ukienda maafisa utumishi wanakusalimia kihaya wakiona wewe ni mnyamahanga utaisoma namba!! ee mungu nisaidie nifanikiwe kuhama huu mkoa. aimeeen!
 
hawa watu sitaki hata kuwasikia ninafanya nao kazi yani mungu tu anatusaidia tusio wahaya hapa ofisini! mkiwa ofisini sana kila kitu ni iweee iweee waguna agasibayo wabonaki yan kazi ipo mbaya zaidi hata halmashauri wamejaa wahaya kibao ukienda maafisa utumishi wanakusalimia kihaya wakiona wewe ni mnyamahanga utaisoma namba!! ee mungu nisaidie nifanikiwe kuhama huu mkoa. aimeeen!

Ha ha ha pole bana ndo maisha mie wamenizunguka ha ha na boss wangu mwenyeww mhaya hadi kwenye meeting ni kihaya tu.
Mie huwaga kimya ha ha ha.
 
Ha ha ha pole bana ndo maisha mie wamenizunguka ha ha na biss wangu mwenyeww mhaya hadi kwenye meeting ni kihaya tu.
Mie huwaga kimya ha ha ha.

asante ndugu hata mie bosi ni walewale. makanisani sasa ndio usiseme ni kiswahili dot kihaya kiswahili kihaya duh!! inafikia hatua hata mshahara tunaocheleweshewa wengi wetu sio wahaya yani hawana hata huruma hawa viumbe wa adamu...
 
Ha ha ha pole bana ndo maisha
mie wamenizunguka ha ha na boss wangu mwenyeww mhaya hadi kwenye meeting
ni kihaya tu.
Mie huwaga kimya ha ha ha.

kwani hujui kuwa Kihaya ndiyo lugha ya taifa?
 
Amekupa consent ya kuweka picha zake hapa kweli?
 
Acheni jamaa afurahie bhanaa. That was their special day.
 
Excel upo hapo ndo breakfast yangu ya leo

hahahahaaa!! amu umenikumbusha mbaaaali!

nimewala sana hawa wadudu mwaka 2010 to 2012 wakati niko Bukoba!

they are very sweet aisee!

attachment.php

ukizubaa hapo unaweza wekwa ndani na mtoto wa kihaya!
 
asante ndugu hata mie bosi ni walewale. makanisani sasa ndio usiseme ni kiswahili dot kihaya kiswahili kihaya duh!! inafikia hatua hata mshahara tunaocheleweshewa wengi wetu sio wahaya yani hawana hata huruma hawa viumbe wa adamu...

pole sana lipenzi! uko bukoba ama karagwe?
 
pole sana lipenzi! uko bukoba ama karagwe?

bk mjini wangu umeniita lipenzi jamani Excel sio vizuri utafkiri mi ni likubwa lol niite kipenzi banah coz ni kidogodogo et! upo lakin???? habari za uliko kwa usiku huu!???
 
bk mjini wangu umeniita lipenzi jamani Excel sio vizuri utafkiri mi ni likubwa lol niite kipenzi banah coz ni kidogodogo et! upo lakin???? habari za uliko kwa usiku huu!???

hahahaaa!! i am very sorry my queen mahondaw!

jamani herufi k na L si unajua ziko karibu sana! basi ile high typing speend nikajikuta nabonyeza L! lol.

haya naja pembe mashariki tuongee kipenzi!
 
Last edited by a moderator:
Apo atue na hio miguu akikosea akaangukia kiuno p o p linamhusu kwa mwaka mzima
 
hawa watu sitaki hata kuwasikia ninafanya nao kazi yani mungu tu anatusaidia tusio wahaya hapa ofisini! mkiwa ofisini sana kila kitu ni iweee iweee waguna agasibayo wabonaki yan kazi ipo mbaya zaidi hata halmashauri wamejaa wahaya kibao ukienda maafisa utumishi wanakusalimia kihaya wakiona wewe ni mnyamahanga utaisoma namba!! ee mungu nisaidie nifanikiwe kuhama huu mkoa. aimeeen!

Acha kazi hakuna umuhimu wa kukaa huko
 
Kagera iko karibu na nchi jirani. Usishangae kuskia kwao ni maeneo ya Ngara!
 
Back
Top Bottom