Picha: Vita ya Vijana na Wazee

Picha: Vita ya Vijana na Wazee

Cha moto watakipata hadi wajifie kwa majonzi badala ya kujifia kwa amani.
 
FB_IMG_1746776787548.jpg
 
Baada ya Wazee kuhudhuria mkutano wa Rais Samia na kuonyesha kumuunga mkono kwa kupiga makofi na vigeregere kwa kila aliloongea. Vijana wameamua na wao kutowaunga mkono wazee kwenye madaladala.

View attachment 3511665

Unaweza kushtakiwa kwa ujinga kwa kupiga picha na Mzee wa watu na kumzalilisha, huu sio ustaarabi na siungi mkono huu ujinga hata kidogo!
 
Mazee ya Tz mapumbavu sana , hapo lilivokaa unaweza jua linawaza maisha, kumbe linamuwaza kipenzi chake samuya na nyeto..pelekea moto hayo mazee ya makamo maamae
Sema mazee ya CCM na mashehe ubwabwa bwana! Sisi wengine mbona tunajielewa!
 
Hivi wale wazee miongoni mwao hakuna ambao walifiwa na watoto au wajukuu katika hayo maandamano?
 
Back
Top Bottom