Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

Picha: Viongozi wa CUF watinga Ikulu leo!

Mtatiro ana bonge ya Sigda(inaitwaje hii maneno?) au mtu alimuotea ngumu JIWE??

back to the topic....kwa nini na wao wamepeleka wajumbe saba kama CDM?this is very low.....kwa kuwa umekutana na CDM na sisi tunataka!!
childish!!!!!!!mmeunga mkono mswada,mmetumia muda mwingi bungeni kumnanga Tundu halafu eti mnataka kuonana na Rais ..ili muongee nini??
 
...Hivi CDM si walikataa kushiriki mchakato wa kupitisha sheria ya kuunda tume ya Katiba?..na baada ya kupitishwa wakasema watamshauri/mshinikiza Mh. Rais asi-sign??..walipokwenda Ikulu nini kiliwapata mpaka waka-sign makubaliano ambayo hayakuwa na kipengele cha kumzuia Rais asi-sign muswada..??? je walifuata chai na juice.? CDM WAlifuata nini ikulu.?

..Hivi CUF si walishiriki kupitisha Muswada Bungeni..sasa wamefuata nini Ikulu..?? nini walisahau kusema pale bungeni sasa wameenda kumnong'oneza Mh Rais..? au pale bungeni walijikuta wakimpiga madongo LISSU/CDM wakasahau muswada.!?? CUF WAmefuata nini Ikulu.?
 
Hawa kidogo wanaonesha wana nia ya dhati kuliko Magwanda walioingia Ikulu kwenda kupiga picha na kuchekacheka.

Ila mwita25 punguza utata usio na maana yoyote,sasa hapo nia gani ya dhati uliyoiona coz hata hao wamepiga picha na wanachekacheka.Wanakuongezea salary lini??
 
mmmhhh,julius mtatiro hiyo hapo kwenye paji la uso ni sijda au nn
halafu hivi una suti moja tu na tai moja?coz kwa fb umevaa nguo hizohizo au ni za sikukuuu .....lol
 
NCCRA waliiga kutoka nje ya Bunge, CUF wameiga kwenda Ikulu. Hakika CDM wanaongoza vyama vya upinzani. Wakiendelea kuiga hivi Mbowe na Zitto muwafikilie sasa unaibu waziri vivuli kwenye zile Wizara zisizo na manaibu. Wassira amewaambia maneno gani wakati akiwakumbatia, Wanaume wa Mara wana utamaduni wa kukumbatia wanaume wenzao?.
 
mmmhhh,julius mtatiro hiyo hapo kwenye paji la uso ni sijda au nn
halafu hivi una suti moja tu na tai moja?coz kwa fb umevaa nguo hizohizo au ni za sikukuuu .....lol
Kasugua uso ukutani ili watu wamuone ni mtu wa kusali sana.
 
Mtatiro ana bonge ya Sigda(inaitwaje hii maneno?) au mtu alimuotea ngumu JIWE??

back to the topic....kwa nini na wao wamepeleka wajumbe saba kama CDM?this is very low.....kwa kuwa umekutana na CDM na sisi tunataka!!
childish!!!!!!!mmeunga mkono mswada,mmetumia muda mwingi bungeni kumnanga Tundu halafu eti mnataka kuonana na Rais ..ili muongee nini??

Kasugua uso ukutani ili watu wamuone ni mtu wa kusali sana.
 
Duh kweli nimeamini Juice ya magogoni si mchezo.

rwtn3q.jpg
 
Chadema walifikri wanaweza kuipa amri serikali, waliposhindwa na kuambulia ubwabwa wakawadanganya wanachama wao eti Jk amewauza na humus walitoka Ikulu humus wakijua kuwa Rais angesaini muswaada wa mabadiliko ya katiba. Aibu.
 
Alikubali ila kaogopa kupigwa KATA FUNUA na wabunge wa magamba bungeni.
 
nao hawakuridhika na maamuzi yao wenyewe pale mjengoni?

Nasubiri tu taarifa wakitoka huko kujua nao walipeleka hoja gani ambayo walishindwa kuitoa bungeni au walienda kumsalimia Mzee tu. Maana CDM tuliziona hoja zao.
 
Watafuata NCCR baadaye TLP.... APPT MAENDELEAO, SAU. TADEA CHAUSI, UDP, CCJ(Nape+ Sitta) .....
 
mmmhhh,julius mtatiro hiyo hapo kwenye paji la uso ni sijda au nn
halafu hivi una suti moja tu na tai moja?coz kwa fb umevaa nguo hizohizo au ni za sikukuuu .....lol

anadumisha mila ya dini yetu.
 
mke kaenda kumshtaki mwanaume wa pembeni kwa mume halisi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom