Mtatilo nae ana "sigida " sikuhizi, vp jamani huyu mtu nae anaswali siku hizi? au kanuni yakuwa CUF ni lazima u-Silim!
ndiyo sera ya chama chetu mkuu.
Mtatilo nae ana "sigida " sikuhizi, vp jamani huyu mtu nae anaswali siku hizi? au kanuni yakuwa CUF ni lazima u-Silim!
Halafu mbona hawajavua viatu?
watu wenyewe walioenda ikulu wooooooooooooooooooooooote ni wepesi sana
Siasa ni mchezo na kuiba technic ni kanuni ya michezo yote..hahaha NGANGARI KUSHNEY wamesoma ramani too late
Hao CUF walienda kupiga picha na JK tu hakuna lolote bana...
Naomba kuuliza kama mTZ, kwa mantiki rahisi kabisa, iwapo CUF waliunga mkono muswada wa katiba kwa 100%, rasimu ya sheria imeshasiniwa na kuwa sheria. Wanaonana na JK kuwasilisha hoja ipi maana walishakubaloana tayari bungeni na sheria imeshasainiwa, hivyo watabadilisha kipi? Je NCCR wataonana lini na JK na pia kuleta mabadiliko kivipi kwa sheria iliyokwisha sainiwa? Kwa mtizamo wangu naona huu sasa ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi ambao kila kukicha aheri ya jana wakati mishahara inachelewa kwa kukosekana hela hazina mpaka tunakopa mabenki ya ndani. Mtusaidie matinki ya kumuona JK sasa ni nini?
Hawa CUF kweli ichefu chefu. Hii yote ni kuhakikisha waliyofanya CHADEMA yakose maana. Sasa wao walikuwepo bungeni, wakaunga mkono mswada wa mume wao, ni nini tena wanataka kama sio mambo ya kitoto?
Kweli mkuu ila Siasa ni mchezo na kuiba technic ni kanuni ya michezo yote..hahaha NGANGARI KUSHNEY wamesoma ramani too late
hivi hakuna nguo rasmi ya CUF? maake wenzao waliadvertize za kwao. Nimeona wote wametoka kiulaya ulaya except jk.
Hawa kidogo wanaonesha wana nia ya dhati kuliko Magwanda walioingia Ikulu kwenda kupiga picha na kuchekacheka.
Kumbatia ya Mzee Tyson inamanisha UCameroon!