LINCOLINMTZA
JF-Expert Member
- Mar 15, 2011
- 1,639
- 519
Sikujua kwamba walikuwa siriazi kiasi hiki. Nilifikiri ni utani! Sasa watainga kila kitu kutoka CDM
na samaki wa kuchemsha..kumbuka ferry haiko mbali!......
hawa wapinzani wetu mpaka rrrraha!
Mkuu Mwita25 wakati mwingine cjui unavutaga ile kitu ya Mpwapwa hata sielewi,kwani ww haujiulizi hawa waendao Ikulu si ndio hawa walopitisha ule Mswada kwa mbwembwe zote na wale CCM A?
na samaki wa kuchemsha..kumbuka ferry haiko mbali!......
hawa wapinzani wetu mpaka rrrraha!
Kama kawaida JK anawapa Juice ya machenza na kahawa ya Yemen, watatepeta kma wenzao Chadema JK bana toto ya mujini