Laurence
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 3,104
- 426
Bora hata angekua anavutia mdomoni au puani,...anatumia masaburi kuvuta bange
Mkuu kwa huyu hayo atakua anayafanya
Bora hata angekua anavutia mdomoni au puani,...anatumia masaburi kuvuta bange
![]()
Interesting....
![]()
😛hoto:WANAPOKEA POSHO aka RUZUKU:juggle:
Wanaenda kufanya nini wakati wameunga mkono muswada wote 100%?
There's something about ikulu watu wakienda wanakenua tu kama "mazuzu" Hizo si smile mkuu Lol!
Halafu tatizo wakitoka huko wanakuwa kama walisahau kilichowapeleka na inawachukuwa muda kukaa sawa na kusema walichoongea na mkulu!
Wakivusha mguu tu ndani ya ikulu wanakuwa kama "misukule" wanacheka cheka tu hovyo!
Sijui ni tactic ya JK kuwachekesha na kuwalamba mipicha?
Ama sijui huwa ana wa hypnotize?
Maana si ndiyo wao walikuwa wakidai ooh sijui anacheka cheka na kwamba hayuko serious?
Sasa hii yao mbona kali sana tu?
Teh teh teh...JF kuna machungu na raha zake!
Invisible inamaana hawa jamaa wamepokea bahasha...duuuuuu watanzania tunasafari ndefu sana...![]()
Interesting....
CDM wametepeta?wewe kweli chizi,hujui CCM na JK sasa ndio hawalali maana wanajua mziki utakao fata kuucheza ni ngumu sana
Hawa CUF wameenda kukumbatiwa
Viongozi wa CUF wakiwasili Ikulu leo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
UJUMBE watu saba wa Chama cha Wananchi CUF ukiongozwa na Makamu mwenyekiti wa chama hicho, Machano Khamis Ali, leo unakutana na Rais Jakaya Kikwete, ili kujadili Sheria ya Marekebisho ya Katiba ya Mwaka 2011.
Wengine wanaoshiriki katika mazungumzo hayo ni Naibu Katibu Mkuu wa CUF- Bara, Julius Mtatiro, Ismail Jussa (Naibu Katibu Mkuu Zanzibar), Abdul Kambaya (Mjumbe Baraza Kuu la Uongozi Taifa), Habib Mnyaa (Kiongozi wa Wabunge wa CUF), Mkiwa Kimwanga (Mbunge Viti Maalum CUF), Twaha Taslima (Mwanasheria na Wakili wa CUF).
Taarifa ya CUF kwa vyombo vya habari jana ilisema kikao cha ujumbe wa CUF na Rais kitaanza saa 4:00 na kwamba ajenda zitatolewa baada ya kikao hicho. Juzi taarifa iliyokuwa imetolewa na Ikulu kwa vyombo vya habari ilisema baada ya kupata ombi la CUF Rais alikubali kukutana nao.
Mwananchi.