Picha: Ushauri kwa wanaume toka kwa mwanamke

Picha: Ushauri kwa wanaume toka kwa mwanamke

1744907115131.png
 
1746580187668.png
 

Attachments

  • 1746580161675.png
    1746580161675.png
    149.6 KB · Views: 15
Wapenzi Wanaume,
Hakuna aibu kusema,
"Babe, siwezi kumudu hicho kitu."

Usiende kukopa au kuwa na madeni ili kumfanya mwanamke afurahi, hawatakujali.
ishi maisha yako kwa uwezo wako, vinginevyo utakufa mapema kwa sababu ya mfadhaiko. Na kabla hujafa, mkeo au mchumba wako atakuwa amekuwa na mtu mwingine tajiri.

Wanaume, kuwa mwerevu!!!!

View attachment 3289996
Kama Tulia acting du!!
 
Back
Top Bottom