Kirefu ni Feed Force UnityTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Mh.Rais yupo hapoHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
wakitumia busara mkuu watapatiwa hata zaidi ya huoHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Ndiyo. Katika maswala ya usalama ni muhimu. Humsaidia kupepesa macho pande tofautitofauti pasipo adui kujua kaelekeza macho upande gani.hivi kwan FFU mpaka wavae miwani mieusi
hawa poliCCM wanajidhalilisha sana. tamko la BAVICHA kwenda kuvuruga mkutano litakuwa limewaongezea CCM gharama za mkutano mara dufu, maana hawa vibaraka wote wamelipwa posho za kutosha kwenda kusimamia ulinzi.
cc; BarbarosaNdiyo. Katika maswala ya usalama ni muhimu. Humsaidia kupepesa macho pande tofautitofauti pasipo adui kujua kaelekeza macho upande gani.
Me mwenyewe napenda kuvaaaNdiyo. Katika maswala ya usalama ni muhimu. Humsaidia kupepesa macho pande tofautitofauti pasipo adui kujua kaelekeza macho upande gani.
Feed Force Unit (FFU)Tafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Dogo acha kutokwa povu,me nauza hiyo miwan za buku jero na wamezoea sana kuja kununua kwangu... kama hujui tulia weweeeWewe ni mwehu hujui kwamba mambo mengi tunachukua toka kwa waliendelea zaidi yetu hata hizo bunduki hazijatengenezwa Tz na hiyo miwani inaletwa maalumu kwaajili yao wala sio ile ya kariakoo.Mi vema ukatafuta uhakika wa jambo kuliko kudanganya watu
acha kufikiri kinyume nyume Rais wa jamhuri. Rais wa Zanzibar. makamu wa Rais. PM, Mhe Naibu Spika wako dodoma... huu ndiyo ulinzi hata kama huyo nani hii angeshinda angelindwa hivi na polisi hawahawaHii nchi bado ina upumbavu sana katika mambo ya msingi mnaweza tuma askari wawili ila mambo ya kijinga mnaweka polisi mia 800 kweli?
Hebu fikirieni Ujambazi unaotikisa mwanza tena wa kutumia silaha na ni kikundi kidogo sana ila wamevaa kuwatisha BAVICHA kwanini kama mnataka shari msiende kupambana na hawa majambazi wenye silaha kama nyie na muachane na hawa BAVICHA wasio hata na kisu.
Mnakera yaani kiufupi jeshi la polisi ni kero sana "Danganya toto zetu hizo ni za kinafiki tafutenu majambazi tena nendeni mkiwa mmevaa hivyo"