harrison josephat
Member
- Jul 6, 2016
- 48
- 7
Kamba mguun mim mwenyewe ndo mzee wa intrejens km ujui alafu mi born here hereFuatilia majibu yangu utaelewa. Naona bado una kamba mguuni
Kamba mguun mim mwenyewe ndo mzee wa intrejens km ujui alafu mi born here hereFuatilia majibu yangu utaelewa. Naona bado una kamba mguuni
Sasa kwanini wavae za polisi kwani wao combat haziwatoshi????Tz ni nchi inayongoza kwa vta vya chinkwachin na hao wala cyo pilisi hao ni jesh wamepewa gwanda za polis ndg walevwotebunawaona ktk msafara wa magufur ni wana jesh tia pua uhumie
Sio bunduki hiyo toi tu hilo.Iyo bunduki ya polisi wa kwanza inaitwaje? ...au ndo AK
Intrejens ndo nn? Tumia tu lugha ya taifa usilazimishe kiingereza utajamba uaibike bureKamba mguun mim mwenyewe ndo mzee wa intrejens km ujui alafu mi born here here
Wakibahatka kushika madaraka ndo watapata ulinzi kama huo.Kwasasa acha waisome namba tu!
Hya mr ziro ngoja nidumishe rugha ya tu bas nipo ktk kitengoIntrejens ndo nn? Tumia tu lugha ya taifa usilazimishe kiingereza utajamba uaibike bure
Wao wana jeshi, sisi tuna Mungu.
Wanataka macho yao na yako yasigongane ana kwa ana,pindi wanapokupa mkong'oto ili wasikuonee huruma.
Field Force Unit.Field force unity(FFU),
Ukimuua nyani usimuangalie usoniWanataka macho yao na yako yasigongane ana kwa ana,pindi wanapokupa mkong'oto ili wasikuonee huruma.
Field force unitTafadhar mwenye kujua kirefu cha FFU
Kwa hiyo polisi hawawezi kuweka ulinzi imara??Tz ni nchi inayongoza kwa vta vya chinkwachin na hao wala cyo pilisi hao ni jesh wamepewa gwanda za polis ndg walevwotebunawaona ktk msafara wa magufur ni wana jesh tia pua uhumie
Mwaka. Huu mtawekwa ndani wahuni wote wa siasaHivi ungekuwa mkutano wa Chadema wangepatiwa ulinzi mkali kama huu?
Labda watangaze maandamano.
Yaan nyie form 6 mnatupa tabu humu?mnatujazia server tu,mmemaliza chuo hamna kazi za kufanya mnakera...Hya mr ziro ngoja nidumishe rugha ya tu bas nipo ktk kitengo
Hahahaha! ya kinjekitire ngwale wa ngarambe hayo mkuu,ikipigwa sema majibasi tuone kama mungu anadaka risasi
AhaaaàaYaan nyie form 6 mnatupa tabu humu?mnatujazia server tu,mmemaliza chuo hamna kazi za kufanya mnakera...