PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

PICHA: Uharibifu uliosababishwa na Waislamu Mbagala

Hii serikali ye2 bhana n ngumu sana kutoa matamko yanayohusiana na UDINI kama unakumbuka kuna 'WARAKA ULIOANDIKWA NA WAKRISTO' ingawa ulikuwa kwa lengo jema bhana hawa waislam wacha wausakame kwamba unadhiaki uislam na unataka kuleta dola ya kikristo lkn serikali haikutoa ufafanuz wowote wakakaa kimya kama kawaida yao,Kwa hiyo jaman msishangae na hilo wasipolitolea tamko.Nakumbuka mzee 'kingunge' alieleza kwa mapana sana kuhusiana na suala la Udin kuingizwa katika siasa pia Udin katika kutoa matamko na kuandika nyaraka mbalimbali ambazo matokeo yake n mauaji makubwa sanaa.HZ NAAMIN N FITNA ZA MAGAMBA KWAMBA HATA WAKISHINDWA UCHAGUZ NCHI HI ISITAWALIKE TENA
 
yule kijana aliwaambia ukweli wakakasirika, sasa mbona walienda kuharibu kanisa badala ya kusimamia kesi hadi uamuzi wa mwisho ndipo watoe uamuzi. Inaonesha ni watu wasiotumia akili kuchambua mambo na kufanya maamuzi

mohamad sio mungu angekuwa mungu angejipigania mwenyewe bila kuhitaji msaada wa wanadamu waitwao waislamu. mbona ss huwa wanamtukana Yesu huwa hatuchomi misikiti?, ni kwasababu tunajua Yesu ni Mungu na anaweza kujitetea mwenyewe bila ya usaidizi au kupiganiwa na wanadamu waitwao wakristo
 
Ndugu zangu ninawatch Taarifa ya Habari ya ITV ya saa 2 Nimeliona kanisa la KKKT lilivyoharibiwa ndani na Waislamu Machozi yamenitoka.

Nashindwa kuelewa kipi hasa Kanisa hilo limekosea mbele ya Waislamu hata walitie moto na KUIBA vifaa vilivyokuwemo. inatia uchungu kwa sababu Kanisa hili nilshiriki kutoa Mchango wa Kulijenga ili Waumini wapate pa Kuabudia.

Tunakwenda wapi nchi hii kwa huu UCHOMAJI wa MAKANISA yasiyo na hatia wala kuhusika kwa namna yoyote ile na UGOMVI wa KITOTO wa Mitaani?

Mungu wangu weeeeh Uko wapi utuamulie?
 
Nyerere aliona mbali sana, bahati mbaya viongozi waliokuja kushika nchi ni wachumia tumbo
 
JK na serikali wanayalea. Zanzibar yametokea hakuna aliyewajibishwa. Sasa yamekuja bara. radio Imani na gazeti la Al Noor yanasema yasiyosemeka wanaachiwa.

Let us wait and see! Wakristo sio wajinga! Tunaongozwa na MUNGU
 
pole zao kwa kweli.

Ila wale wamama machozi kama bomba, mmmh!
 
Sina uhakika kama wahusika ni waislam ila nachojua mimi wahusika ni mashetani na wasiojua maana ya uislam????na kwa hili niwaombe wakristo wote kuwa wapole maana haitakuwa na maana ya kubishana na watu wehu na vichaa wasiojuo watendalo kwa visingizio vya uislam, kumbuka mtu mwenye hekima akivuliwa nguo huchutama kwa maana ya kuwa ukiinama ndio kwanza inakuwa balaa zaidi.
 
Idadi ya makanisa yaliyochomwa moto ni 28 kwa kipindi cha miaka ishirini iliyopita
 
Mimi nimekuja kwa jina la Baba yangu, wala ninyi hamnipokei; mwingine akija kwa jina lake mwenyewe, mtampokea huyo. YOHANE 5:43. Pia tusome Mathayo 5:11-12 Heri ninyi watakapowashutumu na kuwaudhi na kuwanenea kila neno baya kwa uongo, kwa ajili yangu. Furahini, na kushangilia, kwa kuwa thawabu yenu ni kubwa mbinguni. Kwa maana ndivyo walivyowaudhi manabii kabla yenu
 
Mh. Rais unakoipeleka nchi siyo, Zanzibar makanisa yamechomwa na sasa Tanzania bara pia makanisa yamechomwa lakini mkuu wa nchi ni kama vile hajalisikia hili wala halimhusu.

Hivi siku wakristo wakiamua kulipiza kisasi itakuwaje? Ametenda kosa mtu ambaye ana jina la kikristo, je kuchoma kanisa ndiyo adhabu inayostahili? Kwanini asilamatwe na kupelekwa kwenye vyombo vya sheria? Hivi kwa akili ya kawaida kanisa lina kosa gani?

J. Kikwete unahitaji kuwa na kauli kwa yanayotokea nchini.
 
Ndugu zangu ninawatch Taarifa ya Habari ya ITV ya saa 2 Nimeliona kanisa la KKKT lilivyoharibiwa ndani na Waislamu Machozi yamenitoka. Nashindwa kuelewa kipi hasa Kanisa hilo limekosea mbele ya Waislamu hata walitie moto na KUIBA vifaa vilivyokuwemo. inatia uchungu kwa sababu Kanisa hili nilshiriki kutoa Mchango wa Kulijenga ili Waumini wapate pa Kuabudia. Tunakwenda wapi nchi hii kwa huu UCHOMAJI wa MAKANISA yasiyo na hatia wala kuhusika kwa namna yoyote ile na UGOMVI wa KITOTO wa Mitaani? Mungu wangu weeeeh Uko wapi utuaamulie?
anatakiwa moderator katika taifa hili, asipotokea haya yatazidi tokea!
tuendelee kuelimishana ili 2015 apatikane la sivyo tuendako tutamkumbuka sana baba wa taifa, tena wamama kwa wababa wote tukimwaga machozi!
poleni nyote mlioathiriwa na tukio hili!
UVUMILIVU NI MUHIMU!
 
Hizi thread MOD wanazifuta

Tokea asubuhi Thread zote zinazogusa mioyo ya watu kwa makanisa kuchomwa, Holy bible kuchanwa mod wanafuta
sijui kuna agizo la nani ?

Najua na hii thread watafuta wasipofuta ujumbe utakuwa umewafikia

NAKALA kwa Paw, Invisible, Active, Cookie Etc
 
Last edited by a moderator:
mimi sio mdini, ila nauchukia uislam, siamini kama kweli wanamuomba mungu, ni mungu gani huyo anaetaka kulipa upanga kwa upanga, ni mungu gani huyo anaetetewa kwa kuharibu mali za wengine, kwani huyo kijana aliekojolea hio quran hilo kanisa ni lake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom