..............hakuna ujuha wa kushinda kuomba picha ukidai ni mungu !
Nahisi kuna harufu ya uchonganishi inapandikizwa na baadhi ya watu na vyombo vya habari.
Weka picha tupate ukweli wa mambo.
hawa c wa kuwasamehe hata kama tunaamini mtu akikukosea umsamehe saba mara sabini, imetosha! kumbuka walivyofanya tunduru kuchoma nguruwe, muislamu anachoma nguruwe? ili iweje? kuna haja ya kuwajibu kwa vitendo
..........Ndo maana alilia pale msalabani ! .............eeh munguwangu mbona umeniacha mungu mwenzio !
Hao Waislamu wenye siasa kali wanaokunywa Divai ni waislamu wa wapi? Makanisa yamezidiwa kete na vibaka na wavuta bangi..
weka picha mkuu, navyojua mimi hakuna kanisa wala gari lililo chomwa, ni kanisa moja tu limeharibiwa vioo na kuibiwa generator kwa mujibu wa itv saa 2 jana usiku.
Nahisi kuna harufu ya uchonganishi inapandikizwa na baadhi ya watu na vyombo vya habari.
Weka picha tupate ukweli wa mambo.
mkuu lisaa lizima limepita haujaweka picha,
kwanini usingesubiri ukapost kitu kamili, manake uharibifu unaoueleza wewe sijausikia ukiripotiwa na chombo chochote cha habari.
Au ndo unazipika kwanza hizo picha?


Elimu akhera, huwezi hata kujibu hoja..........una tatizo na wake wengi ? we ulikatazwa na nani ? mmerhusiwa kuoana wenyewe kwa wenyewe hivyo punguza wivu !
Picha ziko wapi gombe wewe tango pori.Nasamehe nimeziona waliofanya kitendo hicho watafutwe haraka sana.



.....Akili ya Mgalatia ni kama ya punda, aliyebeba vitabu na kuvisoma hawezi !:nerd: