PICHA: Ufunguzi wa tawi la CCM DC wafunika bovu

Bilal+CCM+246.JPG


Katika hii picha sera gani tena hapa CCM wanaleta?? kwenye kiti kina mama wanafanya nini tena!
Nilishituka kusikia ''FUNIKO'' nikajua vijana wame asi kumbe ni hawa NDEMBE NDEMBE-Khanga MOKO-Laki si PESA.hapo ni Tg -K Kwa mk'o.Hao ni vidumu wa mafisadi ACHA WAGAWIANE DHULUMA.nguvu ya umma inakuja.mta tajana mmoja baada ya mwingine.
 
ahhhhh wamefurika kweli !!!!!!!! mungu atasaidie kuacha unafiki.
Watu wame alikwa ulaji na ngoma.
check hoa wa mama uende kwenye mkutano wa heshima umesha jiandaa kwa nguo za mziki?
shem on you mleta mada, usingeleta hizi picha labda ungeeleweka
 
Inafurahisha sana CDM inavyowapeleka CCM mchaka mchaka! Siku zote CCM walikuwa wapi wasianzishe matawi huko diaspora. Hawa watu hawana ubunifu kabisa ndiyo maana uchumi umekufa. Uchumi imara unahitaji ubunifu wa hali ya juu kutoka kwa viongozi wa serikali na chama tawala. CCM lacks this faculty completely, no wonder the economy is in such a mess despite the affluence of resources. Hawa ni magwiji wa to copy and paste tutegemee nini? Tanzania desperately needs dynamic and creative leadership with clear vision that guarantees sustainable development.
 



Haujui Wangapi Wameogopa kuhudhuria, Unaona waliohudhuria kina LIGATE wote hao Mambo yao SAFI wana residence

Permit a while back; Wengi Wangelijaza hilo kumbi wa DC pekee; kama kungekuwa hakuna huo MTISHIO; hao ni wa DC; NY na

COLUMBUS... na Ina Maana DIAMOND hakupata VISA?

kuhusu kuhudhuria au kutohudhuria hao wengine! haihusu... inahusu kwamba mahudhurio yalikuwa ya kuridhisha na again CCM DMV improve haters they were wrong again .. watafute jingine la kuongea ..

Nafikiri kama mtu unawajua baadhi ya waliotokea kwenye picha hapo wengi wamefuata ulaji. Wakereketwa wa CCM damu damu ni wachache sana-(wale ambao wazazi wao ni viongozi ndio wakereketwa hasaa); lakini hao wengine ni ulaji tu. Hao wa ubalozini ni lazima walinde vibarua vyao hamna jinsi.

Haters! tushawazoea ninyi! ... mmejawa na roho ya kwanini toka CDM walipokwenda UK na kupata watu 7 .. huston pale kuna watanzania wengi lakini mbowe hata watu 30 hakufikisha ...
 




kuhusu kuhudhuria au kutohudhuria hao wengine! haihusu... inahusu kwamba mahudhurio yalikuwa ya kuridhisha na again CCM DMV improve haters they were wrong again .. watafute jingine la kuongea ..



Haters! tushawazoea ninyi! ... mmejawa na roho ya kwanini toka CDM walipokwenda UK na kupata watu 7 .. huston pale kuna watanzania wengi lakini mbowe hata watu 30 hakufikisha ...

HII NI AIBU KUBWA KWA WATZ. kama Watz wakiwa nje ya nchi wanakuwa hivi basi. Unafikiri tuseme nini sasa kama mambo yameshaharibika. Halafu ni chama kongwe, wanafanya umalaya wa nje nje hv. Mh! Wanadhani ni maendeleo kumbe ni upumbavu kabisa. Na huyu aliyeweka hii picha nadhani ana upungufu wa akili kichwani (U.A.KI). Pole sana!
 
kweli CCM cham cha kuzeekea.Yaani watu watimbe maisha huko nje, wengine wapige umalaya hadi sura zimezeeka.Halafu wakijipendekeza CCM basi wakirudi bongo hakuna wa kuuliza elimu zao za kuungaunga na story kibao za majuu basi wanaingia katk system wanaendelea jifunza kula nchi mwishowe nao wanaoa pembe kuwa wanaijua siasa na nchi.

Wangejua Zaidi ya msosi hawakuji kitu CCM around mwaka huu 2015, wangeinvest sehemu nyingine.
 




kuhusu kuhudhuria au kutohudhuria hao wengine! haihusu... inahusu kwamba mahudhurio yalikuwa ya kuridhisha na again CCM DMV improve haters they were wrong again .. watafute jingine la kuongea ..



Haters! tushawazoea ninyi! ... mmejawa na roho ya kwanini toka CDM walipokwenda UK na kupata watu 7 .. huston pale kuna watanzania wengi lakini mbowe hata watu 30 hakufikisha ...

Unaanza kuwa na Matatizo kama ya NAPE NNAUYE... UMATI ndio UJUMBE UMEFIKA... CHADEMA haibebe WAJUMBE kwa kuwalaghai kwa zawadi

Wanakuja kufuata hoja za kweli... ANGALIA PICHA HAPO CHINI UNIAMBIE KAMA HOUSTON kulikuwa na watu 30 tu... BE REAL..

Don't judge each day by the harvest you reap but by the seeds that you plant.


DSCF2828.JPG
 




kuhusu kuhudhuria au kutohudhuria hao wengine! haihusu... inahusu kwamba mahudhurio yalikuwa ya kuridhisha na again CCM DMV improve haters they were wrong again .. watafute jingine la kuongea ..



Haters! tushawazoea ninyi! ... mmejawa na roho ya kwanini toka CDM walipokwenda UK na kupata watu 7 .. huston pale kuna watanzania wengi lakini mbowe hata watu 30 hakufikisha ...


LINGANISHA MKUTANO WA CCM DMV NA WA CHADEMA HOUSTON; ONA TOFAUTI... HEKIMA na MATUMIZI... SIO MUZIKI ni HOJA

na Mazungumzo ya Maendeleo ya NCHI sio UBIA na UBANI wa kushikamana; na kupatana JOTO kama KINANA


[h=2]Sunday, August 26, 2012[/h][h=3]Matukio ya CHADEMA-M4C Houston[/h]







Marriot Hotel Houston - Ulipofanyika mkutano wa CHADEMA
Wadau wa Houston - John na Mbowe
Mdau Abdulkarim na Katibu wa CDM Houston Nd.Mlay

Wadau wa Houston

Mdau wa Atlanta, Dada Linda ndani ya nyumba

Wadau wa Houston na Atlanta

Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot

Msafara wa Mh.Mbowe ukiingia Marriot

Sehemu ya Wadau wa Houston wakisikiliza sera za Vua Gamba Vaa Gwanda

Wadau Sekulu na Himid

Dada Linda na Dada Asha wakionesha ubunifu wa mavazi yenye rangi ya bendera ya CDM

Mdau Ngalawa akiwa na Mh.Mbowe

Mh.Mbowe na wadau wa Houston

Mh.Mbowe na wadau wa Houston na Atlanta

Mh.Mbowe na mkereketwa wa CCM-Houston Nd.Ndejembi

Mh.Mbowe na wazee wa M4C kutoka DMV
Kwa picha zaidi bofya read more

Mh.Sugu akiwa na Nd.Ngalawa

Mh.Mbowe akimwaga sera za CHADEMA kwa wadau wa Houston

Sehemu ya umati wa wadau
Mwenyekiti wa TZ-Houston Community, Nd.Novatus Simba
Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda

Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda

Wadau Houston wakivua Gamba na Kuvaa Gwanda

Mdau Lenny wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda

Mdau Kasapira aka Yes We Can wa Houston akivua Gamba na Kuvaa Gwanda
Future M4C wa Houston

Wadau

Mdau Sekulu akimuuliza swali Mh.Mbowe
Andrew Sanga akiwa na kadi ya CDM
Mdau Jerome akipokea kadi ya CDM kutoka kwa Mh.Mbowe

Mwenyekiti wa CDM Taifa akisaini kadi za wanachama wapya

Mwenyekiti wa Muda wa CDM-Houston, Bw,Fue O. Fue akiwa na Mh.Mbowe, Dada Maggie na Mdau

Mh.Sugu akiwa na Nd.George Kasapira

Mh.Mbowe akiwa na Nd.Martin Mhumbira

Mh.Mbowe akiwa na Nd.Andrew Sanga



 
You can tel the difference.CCM wa ulaya,US na bongo wote hawana mvuto.Moja ni kundi la watu wana mapinduzi wakati wengine ni kundi la watu selfish, wezi, malaya, na wenye taswira za ujinga na ushamba katk mabara tofauti ila toka nchi moja.
 
Mimi sielewei kabisa! Hivi inakuwaje mtu umeishi ughaibuni, umepata exposure ya kutosha, ume-broaden horizons zako halafu bado unaunga mkono lichama kama CCM ambalo limekuwa madarakani tokea tupate uhuru na halijafanya lolote la maana katika kuleta maendeleo nchini. Yaani sielewi kabisa. Ni nini hasa? Ni njaa? Ni kwamba hao wa-diaspora ni wachumia matumbo? Au ni ujinga tu?

Usishangae ndugu yangu...you can take Mbongo out of the bush, but you cant take the bush out of him/her.



52fghv.jpg


Juu Igunga, Tanzania
Chini Washington, USA


CCM+DMV+273.JPG


Ubwabwa unatesa!
 
Mbona kwenye shughuli ya CHADEMA hakukuwa na ubwabwa?

Ila cheki CCM....ubwabwa na mduara juu yake. Gademu....these people aren't serious.
 
CCM wanaweka at list chakula.. chadema wao ni watu wa kilaji.."pombe" hadi mkutano wao London wakaamua kuufanya bar!
 
Du inasikitisha yaani diaspora wa Us na Uk bado wanababaikia kujiunga na CCM wakati watanzania hata wa vijijini wanasapoti cdm kama wanataka ulaji waelimisheni ccm iishakufa bongo si dili tena msipoteze muda wenu na ccm inasubiri kuzikwa 2015
 
ballali alikuwepo.???
Ukweli ni kwamba hiyo ni party ya mafisadi na watoto wao na familia zao,shame on you,haiingii akilini kabisa kwa msomi na kijana wa karne hii eti kutoona madhambi ya CCM na serikali yaO.Kungekuwa na namna ya kujua ubini wa hao wanaoonekana kwenye picha ungeshangaa,wote ni watoto wa akina Malecela,Lusinde,Mkapa ,msekwa etc walipelekwa uko kwa fedha za serikali na wazazi wao wengi wako kwenye list of shame,sasa wana matumbo moto wakiona CHADEMA inavyogain strength kila uchao na inatishia ulaji wa familia.Subirini 2015 sijui sura zenu mtazificha wapi mtakapoona wazazi wenu wanaburuzwa mahakamani kwa ufisadi.
 
Nikuulize wewe na huyo aliyeleta dai la kuvaa hereni; mhusika ni promota wa mziki sisi hatuoni ajabu yeye kuvaa hereni, zaidi ya yote yeye ni mwanachama wa kawaida Sugu nilikugusia tu ili kuwakumbusha sababu wanachadema ni wasahaulifu sana.
Chama
Gongo la mboto DSM
CCM+DMV+123.JPG


acha kujizumgusha ww promoter wa tGO? ha ha ha ha ha ha tupatie number zake tumpigie, kajitunisha ha ha ha ha
 
hiyo ni sherehe ya kuonyesha stlye za kupiga picha na nguo za kijani ......na nani ana Guu la bia ..na si ufunguzi wa tawi .. na hao watz walioenda huku sgughuli kubwa ni kupata mahawara wa nje 2 hamna kingine.
 
CCM+DMV+123.JPG


acha kujizumgusha ww promoter wa tGO? ha ha ha ha ha ha tupatie number zake tumpigie, kajitunisha ha ha ha ha

Maisha magumu mpaka unataka kumwaga tGO? Shughuli za maisha zipo nyingi jembe halimtupi mtu rudi kijijini ukalime! mshikaji promota wa muziki kama unakipaji tuambie tukupe dili!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom