PICHA; tuite sitting allowance au sleeping allowance?

chante

JF-Expert Member
Mar 11, 2011
511
675
PICHA;tuite sitting allowance au sleeping allowance?
 

Attachments

  • Natafakari 2!.gif
    Natafakari 2!.gif
    17.7 KB · Views: 1,443
  • Natafakari 3.gif
    Natafakari 3.gif
    26 KB · Views: 1,461
  • Natafakari 6.gif
    Natafakari 6.gif
    28.9 KB · Views: 1,533
  • Natafakari.gif
    Natafakari.gif
    13.9 KB · Views: 1,416
  • Ninatafakari 5.gif
    Ninatafakari 5.gif
    18.5 KB · Views: 1,498
Mizee iliyochoka kiakili, kimwili bado inang'ang'ania madaraka badala ya kuwaachia vijana. Waangalie! hwana aibu kabisa.
 
yaani mpaka aibu hivi hamna adhabu yoyote mbunge anapokutwa kasinzia, maana mimi nakumbuka wakati tuko shule mwalimu akikukamata umesinzia lazima akupigishe magoti na unakula bakola za haja
 
PICHA;tuite sitting allowance au sleeping allowance?

Sleeping on their seats!! nadhani issue hapa ni kukalia kiti cha bunge tu baaaasi!

Na kuna taarifa kwamba hizi allowance huwa zinalipwa in advance, ile kujiandikisha majina inakuwa ni geresha tu. Ama ofisi ya bunge ipate kujua ni nani alikuwepo siku hiyo na nani hakuwepo lakini posho wanakula kama kawaida.
 
Mzee wa kiraracha ndo ametia fora, manake mpaka udenda unamtoka kwa ajili ya kushiba posho.
 
payment 100% in advance!!!!

sleeping on their seats!! Nadhani issue hapa ni kukalia kiti cha bunge tu baaaasi!

Na kuna taarifa kwamba hizi allowance huwa zinalipwa in advance, ile kujiandikisha majina inakuwa ni geresha tu. Ama ofisi ya bunge ipate kujua ni nani alikuwepo siku hiyo na nani hakuwepo lakini posho wanakula kama kawaida.
 
Kaka usiwakumbushe kuhusu sleeping allowance, watakuja kuidai hiyo
 
Ifike sehemu viongozi wetu nao watambue kuwa umri unamata katika uongozi wawaachie vijana kuliko kuendelea kulala bungeni ni aibu kwa taifa
 
ndio kuwakilisha wananchi ivi??? aaagrrrrr

Africa sijui ni lini tutabadilika, umri umeenda bado lijitu linang'ang'ania madaraka.
 
Hawa ndo viongozi wetu!illiet and damn leaders!viongozi wa kulala popote hata misibani,this is a sleeping allowance!viongozi wa kukesha usiku na vimwana na kugeuza bungen sehemu ya kulala!maisha gani yamepanda wakati kulala kwao ni mjengoni!?i hate them more than ever!wananchi maisha magumu huku kitaani!they are there for us!illiets!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom