Things Fall Apart
Senior Member
- Jun 26, 2012
- 178
- 146
Rais ni Magufuli, Lowasa analiwa pesa na wachagga.
nani atamchaguwa mgonjwa asiyeweza hata kunyoosha maneno?
Kuna dalili za kuonesha kuwa daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kanyimwa mgao!
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Laiti kama Allah angekufumbua macho ujue kuwa afya na hatma ya maisha ya mtu yeyote iko mikononi mwake usingalitoa maneno ya kejeli kama haya kwa bin adam mwenzako. Allah akusamehe kwani hujui ulisemalo.