PICHA: Tofautisha kati ya Magufuli na Lowassa

PICHA: Tofautisha kati ya Magufuli na Lowassa

mizambwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2008
Posts
4,421
Reaction score
1,792
Magufuli Singida.jpg​

Umati wa Watu waliohudhuria Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM. Mkutano huu ulifanyika Mkoani Singida.

Lowasa Fomu.jpg​

Umati wa Watu waliohudhuria tukio la kuchuka fomu ya kugombea Urais kwa tiketi ya UKAWA. Tukio hili lifanyika ofisi za CHADEMA Kinondoni Mkoani DSM.

==========================================================

MIZMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Tuna experience kubwa sana na manyomi ya Tanzania but Kwa Manyomi ya CHADEMA huwa balaa na kwa kuharibu kabisa sijui Nyomi la UKAWA + Lowassa litakuwaje nadhani watu watakufa kwa kukosa HEWA. Andaeni AMBULANCE za kutosha.
 
Ukiamka kufanya comparison uwe na fareness katika data ili unachokionyesha kiwe na maana
 
Umati wa Watu waliohudhuria Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM. Mkutano huu ulifanyika Mkoani Singida.

Umati wa Watu waliohudhuria tukio la kuchuka fomu ya kugombea Urais kwa tiketi ya UKAWA. Tukio hili lifanyika ofisi za CHADEMA Kinondoni Mkoani DSM.

==========================================================

MIZMBWA
INANIUMA SANA!!!

tuma picha magufuli akichukua fomu wewe.....alikua peke ake
 
Huwezi ukatumia picha hizi kwa ulinganifu WOWOTE.

Pengine, ungetumia picha ambazo Magufuli na Lowassa walipokwenda kuchukua fomu za Urais, au kama watu waliohudhuria mikutano yao, lakini si kwa matukio yenye dhima mbili tofauti.
 
Kweli wewe ni mizambwa!Subiri wakati ufike ndio ufanye comparison
 
Vyovyote vile sawa, muhimu Amani..
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1438345935.669940.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1438345935.669940.jpg
    67 KB · Views: 605
Rais ni Magufuli, Lowasa analiwa pesa na wachagga.

nani atamchaguwa mgonjwa asiyeweza hata kunyoosha maneno?

Kuna dalili za kuonesha kuwa daktari wa kanoni padri Dr.W.Slaa kanyimwa mgao!

Wajinga Ndiyo Waliwao.
 
Ukabila huo we bibi!tulia unyolewe!el raisi wetu sote pamoja na wewe kikongwe!
 
Back
Top Bottom