shoo ya fa imekaa ki classic zaidi.kwenye shuhuli watu mkiwa weengi sometimes mnakuwa hamu enjoy{hiyo naongelea kwa upande wangu}mfano nikienda kwa mzee yusuf taarab,panakuwa hapatoshi,sebene zuri ila nafasi ya kucheza hakuna,nikienda kwa isha,watu wa kiasi unajinafasi kiasi fulani.ila ki maslahi,anaejaza ndio anaepata hela zaidi.na ukiangalia ni kweli lady jay d amepata.