chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,404
- 24,990
Habari wanabodi
Hii picha nimeipiga eneo la Tabata mataa kila mtu alikuwa anashangaa kuona chombo cha aina hii.
Hapo zimetumika injini mbili za pikipiki huku zikiwa zimeunganishwa kwa pamoja kwa ubunigu wa hali Juu.
RAI : Serikali ifike wakati muanze kuwajengea uwezo watu wa aina hii ili kuweza kuweza kutumia vyema vipaji na uwezo wao kwa faida yao, jamii na nchi kwa ujumla.