PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

chadema walipima kina cha maji kwa mguu sasa wanatapatapa

watanzania ni watu makini sana wallah wemeamua kwenda na mama milele
Hamuijui chadema ,hamjui Dunia , hapo watu wamesombwa balaa achana na anaokua nao kwenye msafara ambao wanatosha kujaza mkutano, kwa chadema hata uwazi huo usingeuona
 
Na mimi naanza kuelewa, chadema walisoma upepo, wangepigwa kama mbwa koko
Wapumbavi nchi hii wanazidi kuongezeka ,kama mpo hivi na mnajiamini kwa nini figusu zote kwa chadema.
Chama kiongozi kwa sasa tz ni chadema vingine ni wasindikizaji tu.
 
Kwanini isipigwe pasi mkuu wangu, Angalia watu utafhani SISIMIZI
1756410924006.jpg


Ushatoka kwenye mkutano?
 
Sasa mimi ni jobless, niitwe nipewe kaposho na Lori la kwenda kwenye mkutano lipo, nitaacha kwenda? Ng'ombe wa mama hao.
Hapa DSM wamewakusanya daladala zote sembuse huko kijijini!
Siku utajua ww ni mjinga ni Wakat utaumwa ufike
Muhimbimbili MOI uambiwe weka deposit ya lak 7 ndio tuanzishe huduma unaanza kupigia Ukoo mzima kana kwamba walikuzaa.
Meanwhile kuna genge la wezi wanaogelea kwenye utajiri wa kifuru usio halali.
Waafrika ni watu wajinga lakini wa TZ ni zaidi ya hiyo.
 
Back
Top Bottom