Subiri kipigo kinacho wanyemelea. Acha kihelehele kisichokuwa na sababu zozote wakati huu.Na mimi naanza kuelewa, chadema walisoma upepo, wangepigwa kama mbwa koko
Subiri kipigo kinacho wanyemelea. Acha kihelehele kisichokuwa na sababu zozote wakati huu.Na mimi naanza kuelewa, chadema walisoma upepo, wangepigwa kama mbwa koko
Umeona eehNajisemea kila Siku
Shida ya Tanzania sio CCm ni Vijana wanao jiita Watanzania.
Sasa Mpuuzi kama huyu unategemea Awe miongoni wa Watu wakuisaidia nchi hii kweli!!
Tunasafari ndefu sana
Badala ya CDM, Chauma ndio wanapigwa kama mbwa koko. Hapo vipi!Na mimi naanza kuelewa, chadema walisoma upepo, wangepigwa kama mbwa koko
Alafu kuna mtu kama Yericko Nyerere anaamini upambane na hao watu makatili ccm?!View attachment 3459044View attachment 3459045
Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅 😅Acha dharau mkuu, lengo lako tuone shati ya mheshimiwa raisi haijapigwa pasi.

Hawa wote wameokotwa mitaa ya Mbagala na vitongoji vyake kwenda kumshangilia Mama Morogoro kwa kupanda treni la bure. Naona hapa Mama alikuwa bado hajavuta shisha na kujidunga na Miwhiskey yake maana macho hayajalegea bado.View attachment 3459044View attachment 3459045
Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
Ila we jamaaAu usikute alilaliwa??
Hawachelewi kusema selfie n matumizi mabaya ya pesa za umma 😂jamaa wana hasira sana
Nyumbu wa kijani nyieView attachment 3459044View attachment 3459045
Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
Wamarekani waligopa vituko kama hivi wakamukataa wao aliyekuwa aweNi Tanzania pekee ndiyo rais anaji-selfie.
SAWANi Tanzania pekee ndiyo rais anaji-selfie.