Utak
JF-Expert Member
- Jul 1, 2025
- 1,269
- 5,268
😂 me sijuiKwanini isipigwe pasi mkuu wangu, Angalia watu utafhani SISIMIZI
😂 me sijuiKwanini isipigwe pasi mkuu wangu, Angalia watu utafhani SISIMIZI
Watanzania hao akina Rostam na mtandao wao.chadema walipima kina cha maji kwa mguu sasa wanatapatapa
watanzania ni watu makini sana wallah wemeamua kwenda na mama milele
Zamani Nyanza na shirecu walisomba marobota ya pamba.Hiyo ndio kazi inayofanywa na yale mabasi na kwa kuwa wananchi wengi hawana shughuli za maana za kufanya wako tayari kusombwa kama marobota ya pamba yanayopelekwa kwenye mastoo.
Chadema bhana, sasa hata selfie nayo ni jambo la kulalamikia?
We bwege na hasidi umetumia ****** kuwaza.Sasa mimi ni jobless, niitwe nipewe kaposho na Lori la kwenda kwenye mkutano lipo, nitaacha kwenda? Ng'ombe wa mama hao.
Hapa DSM wamewakusanya daladala zote sembuse huko kijijini!
Siku utajua ww ni mjinga ni Wakat utaumwa ufike
Muhimbimbili MOI uambiwe weka deposit ya lak 7 ndio tuanzishe huduma unaanza kupigia Ukoo mzima kana kwamba walikuzaa.
Meanwhile kuna genge la wezi wanaogelea kwenye utajiri wa kifuru usio halali.
Waafrika ni watu wajinga lakini wa TZ ni zaidi ya hiyo.
The fall of CCM 1995-2025.✍️📌View attachment 3459044View attachment 3459045
Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
Kwa akili gani sasa hadi uelewe? Hivi unajua kila goti litapigwa mbele ya Muumba wa mbingu na nchi? Iko hivi, Mwenyezi Mungu anaweza akambariki mja wake aliyetoa sadaka ya Tsh. 1000 kuliko yule ambaye ametoa sadaka ya hata ya 10M? Kama una hata "D" 1 tu ya shule zenu za kata unaweza ukajiongeza. Punguani wa kufikiri kabisa wewe!Na mimi naanza kuelewa, chadema walisoma upepo, wangepigwa kama mbwa koko
Au usikute alilaliwa??Acha dharau mkuu, lengo lako tuone shati ya mheshimiwa raisi haijapigwa pasi.
Sio waliepusha kuokota maiti, na vilema na magereza kujaa ???Na mimi naanza kuelewa, chadema walisoma upepo, wangepigwa kama mbwa koko
chadema walipima kina cha maji kwa mguu sasa wanatapatapa
watanzania ni watu makini sana wallah wemeamua kwenda na mama milele
Mji kasoro bahari hapo siyo? Ila Moro haijawahi kumwangusha Samia, ht mwaka jana ziara ya kikazi walifunika mbaya. Hongereni wana Morogoro
😆😆 nimejikuta nacheka kwa sautiAcha dharau mkuu, lengo lako tuone shati ya mheshimiwa raisi haijapigwa pasi.