Picha :Rais Yoweri Museveni akicheza mpira barabarani

Ghazwat

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
23,718
66,262
View attachment 372591Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kwa mara nyingine tena amegonga vichwa vya habari baada ya picha yake akicheza mpira, kusambaa kwenye mitandao ya kijamii Africa Mashariki.

Ni siku chache tu tangu Rais Museveni alipokuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiongea na simu pembeni ya barabara.

Watu wengi wamekuwa wakituma picha zao kuiga kile Rais Museveni alichofanya ambapo vingi ni vya kuchekesha.
 
Hiyo picha ya Museveni akicheza mpira iko wapi?Ungeiweka ili stori yako ikamilike.
 
1469809957819.jpg
 
View attachment 372591Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda kwa mara nyingine tena amegonga vichwa vya habari baada ya picha yake akicheza mpira, kusambaa kwenye mitandao ya kijamii Africa Mashariki.

Ni siku chache tu tangu Rais Museveni alipokuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuonekana akiongea na simu pembeni ya barabara.

Watu wengi wamekuwa wakituma picha zao kuiga kile Rais Museveni alichofanya ambapo vingi ni vya kuchekesha.
Hua sishangai manake hawa rais wao ni kama Cosby tuu..mmesahau kwamba alishawahi chana mistary kama Chid Benz akirap
 
Hahahaha eti ingekuwa nchi Fulani kesho yake cabinet yote nayo inacheza Mpira.....umenichekesha sana kk
 
Acha acheze tu.. maana hana kazi upinzani nchini kwake hawampasui kichwa
 
Huyo anaecheza sio Museveni. Ni mchekeshaji anaependa kuigiza kama Museveni Anajiita Teacher Mpamire
 
Back
Top Bottom